Mdodos
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 379
- 279
Kwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?Hakuna muujiza wowote ule. Kilichofanyika sasaivi ni hela zote za serikali zinakusanywa na TRA. Kama hadi mamlaka za Ngorongoro na Tanapa na uhamiaji zimenyang’anywa kukusanya mapato ya utalii na imepelekewa TRA hizo figures wala hazishangazi...