Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Hakuna muujiza wowote ule. Kilichofanyika sasaivi ni hela zote za serikali zinakusanywa na TRA. Kama hadi mamlaka za Ngorongoro na Tanapa na uhamiaji zimenyang’anywa kukusanya mapato ya utalii na imepelekewa TRA hizo figures wala hazishangazi...
Kwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?
 
Kwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?
Nani kapinga TRA kukusanya?? Tunachosema ni watu kuwadanganya watanzania kuwa mapato yameongezeka kumbe kiuhalisia hakuna cha mapato kuongezeka bali ni kunyang’anya mapato ya taasisi nyingine na kupeleka TRA.

Ni sawa na kwenye familia yako mtoto alikuwa analeta kwako shs 100 na mama shs 50 , wewe kama baba Unasema hela zote zikusanywe na mama.

Mama kaleta shs 150 kwa kukusanya na za mtoto unakuja kutangaza kwa kujisifu kuwa mapato yamepanda kumbe hakuna tofauti yeyote. Ni kiini macho tu
 
Kwani wewe ulitaka zikusanywe na nan? TRA ndio mamlaka ya kukusanya mapato ulitaka nani akusanye?
Wakusanye kwa haki siyo kuwabambikia kodi kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani matokeo yake wataziua Benk kwa kukosa wateja
 
Tatizo hii awamu fix sana ngumu kuiamini.
Wamepika data zao ili kuwahadaa watanzania, wakitaka watu wanaamini waache Tabia mbovu ya kufunga Account za wafanyabiashara kuwabambikia kodi kufunga biashara za watu kwa uonevu
 
Awamu ya tano watu wengi roho zinauma sana poleni. Ukweli ni kwamba TRA wangeweza kukusanya hata Trilioni kama wewe ungelipa kodi yakohakuna cha kushangaza hapo awamu zilizopita zilikuwa za wapigaji leo roho zinauma mwacheni ajimwambafai anakonga roho zetu sisi wanyonge hatuna cha kupoteza Viva Magu
Upigaji upo sasa zaidi kuliko awamu zote, kuanzia ununuzi wa Ndege kuna 10% ukarabati Ndege kuna 10% ujenzi wa Reli SGR flyover bwawa la umeme kuna 10% za wajanja wachache na huko TRA ndipo kuna upigaji wa kutisha kwani maofisa vinara wa Rushwa ni matajiri wakubwa wana majumba na mali nyingi kuliko hata wafanyabiashara wanaokamuliwa kodi za kubambikiwa
 
Kumbe hata kuchambua taarifa ya Not hajamaliza,kihere here Cha nini?
Zitto haaminiki,aliwahi kusema nchi Ina Tani 90 tu za akiba ya chakula
Historia haizuii kusema mapungufu ya TRA
 
Jambo pekee nitaamini,ni kuwa mianya ya upigaji imepunguzwa kwa kiasi kikubwa,hii ndio inaleta tofauti na serikali iliyopita.
 
Utajiri wa maofisa wa TRA ni mkubwa kuliko hata wafanyabiashara wenyewe, sasa jiulize Mtumishi wa kukusanya kodi na yeye kawa Tajiri mkubwa hizo pesa kazipata wapi? Kufunga account, kufunga biashara kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara ndiyo mbinu zao za kutengeneza mazingira ya Rushwa
 
Jambo pekee nitaamini,ni kuwa mianya ya upigaji imepunguzwa kwa kiasi kikubwa,hii ndio inaleta tofauti na serikali iliyopita.
Upigaji upo kwenye Rushwa, wafanyabiashara kutishiwa kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi, mikwara inatumika kupiga pesa za wafanyabiashara, upigaji wa sasa upo kivingine usipobambikiwa kodi kufungiwa Account wanakuja na mbinu zingine kwa kutumia upepo uliopo sasa
 
Jambo pekee nitaamini,ni kuwa mianya ya upigaji imepunguzwa kwa kiasi kikubwa,hii ndio inaleta tofauti na serikali iliyopita.
Upigaji sasa upo kwenye mabenk wakifunga Account yako kuifungua lazima utoe pesa
 
Zitto huyu aliyewahadaa Chadema mnamuamini
Hapo anataka kufanya mlinganyo tu Kama kweli kilichokusanywa TRa ndipo kilichopokelewa?Ni kweli karibu mapato mengi ya serikali yanakusanyo na TRa through gepg
 
Huo ndo ukweli,Zito keshajipatia zake saccos kule..inatosha...apige zake blah blah wala hamna jipya...tumemzoea..
Jipya halihitajiki kujua udhaifu wa TRA, mapungufu ya TRA hayahitaji jipya
 
kwa kawaiida kukusanya kodi ni mkudansanyaji ambaye Ni TRA anapoteza muda kuchambua ni sawa na mfanyabiashara akidema nimepata mapato ya bilion moja halafu unasema naenda benki kuchambua taarifa zake.
Huo mfano wako hauna mashiko na hauwezi kutumika kwenye mapungufu ya TRA
 
Nani kapinga TRA kukusanya?? Tunachosema ni watu kuwadanganya watanzania kuwa mapato yameongezeka kumbe kiuhalisia hakuna cha mapato kuongezeka bali ni kunyang’anya mapato ya taasisi nyingine na kupeleka TRA.

Ni sawa na kwenye familia yako mtoto alikuwa analeta kwako shs 100 na mama shs 50 , wewe kama baba Unasema hela zote zikusanywe na mama.

Mama kaleta shs 150 kwa kukusanya na za mtoto unakuja kutangaza kwa kujisifu kuwa mapato yamepanda kumbe hakuna tofauti yeyote. Ni kiini macho tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sasa ulichoandika hapa ni nini?

Hizo taasisi zenyewe huwa nazo zinakusanya kodi?
 
Back
Top Bottom