Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi mtoto wa Watu (Abdul Nondo) mtihani unaomkabili.
Mwenyezi Mungu ampiganie usiku na mchana abaki salama.
Eeeh Mwenyezi Mungu twakuomba ingilia Kati matatizo haya ya utekwaji , mauji na kupotezwa kwa watanzania 😭😭😭
Usikae Kimya Mungu maana tunakutegemea wewe pekee.
😭😭
Inasikitisha mno.
Inaumiza mno.
 
Wewe unafikiri kwanini ile Sheria iliyopitishwa na Bunge ya kuwataka TISS wa waruhusiwe kuwakamata wanaowahisi ni wahalifu na kuwahifidhi kwenye Mahabusu yao?? Unafikiri kwanini waliwekewa kinga ya kutoshitakiwa wanapotekeleza majukumu yao hata kama wametenda makosa?? Na ili Sheria ile iweze kutumika nilazima isainiwe na Rais. Je Rais aliyeidhinisha ni yupi??

Na hawa Jamaa walifanikiwa kwani walimuambia " Walikuwa hawamchezei Magu kama wanavyokuchezea wewe kwasababu ya jinsia yako". Sasa tupe baraka zako tufanye kazi.
 
Brother/sister Huwa unajisikia furaha kutetea waovu?.
 
Reactions: Cyb
Ayatola Zitto hana akili kabisa, tena linapaswa likamatwe na polisi maana haini kabisa likipatikana na hatia lihukumiwe kunyongwa hadi kufa, alitutukania sana Dkt Magufuli wetu kwa dhihaka na kejeli na bado akome kabisa
Magufuli ndio muasisi wa huu ubaradhuli.
 
Upumbavu mtupu.

Kwahiyo mtu kutekwa ndio mashindano kwako ya kuona nani akiongea ataachiwa mapema?

Useless old folk.
Hilo jamaa lina vihoja vya kipuuzi muda wote, halafu linajiita Yohana Mbatizaji. Ni sadist wa kutupwa huyo.
 
Niliwaambia Zitto ni tofauti na Mwamba

Huyo Dogo atapatikana lije jua ije mvua 🐼
Una hoja za kipumbavu sana wewe. Halafu achana na hilo jina, unalinajisi tu kwa kufurahia mateso ya binadamu wenzako.
 
David misime msemaji wa jeshi la polisi huwa dhamira yake haimsuti kabisa kudanganya???
Polisi woooote Tanzania nzima hakuna hata mmoja mwenye hofu na Mungu?
 
Mama hana time kabisa na hizi story, its job specifications
 
Huyu mama mbn ana support upuz

Ova
Niliona ukitumia nguvu kubwa kuunga mkono polisi kuua wezi/panya road. Ukawapongeza polisi kuua hao vijana. Ulitegrmea hizo extrajudicial killings zitaishia kwa hao tu? Hizi nchi zetu ukisharuhusu polisi wafanye mauaji na nyie raia mkashangilia bila kujua kesho watageuka kwenu.
 
Magufuli ndio muasisi wa huu ubaradhuli.
No no no no, huu ni mfumo ambao Zitto akiwa mbuge ameshiriki kuandaa, Dkt Magufuli hahusiki kabisa na ushahidi ni ujinga wa hao akina Ayatola Zito na wenzake kufanya sherehe kusema eti wanashangilia kifo na eti utekaji utaisha hahaha πŸ˜‚ ndiyo wajue Dkt Magufuli alikuwa mtu wa watu!
 
Kama hahusiki mbona hakemei?
 
Wewe ni mjinga sana! Magu alikuwa ni shetani mkubwa sana! Pumbavu kabisa Wewe!
 
Hata mtoto mchanga anajua nondo kachukuliwa na police.
 
Brother/sister Huwa unajisikia furaha kutetea waovu?.
Gentleman,
kusingizia mambo ambayo sio na hayapo ni zaidi ya ushirikina.

anatekwa wa nini kijana legevu na laini kama yule muungwana?

acheni unafiki wa kizembe hivyo ndrugu zango πŸ’
 
mi nashauri vijana waachane na siasa tu maana wanageuzwa mbuzi wa kafara na wakuu wa vyama vyao,kwanza tanzania upinzani hakuna haiwezekani kinatawala chama kimoja miaka nenda rudi,hakuna cha demokrasia ni udikteta tu
Inaonekana umekata tamaa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…