Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakushinda.

Kaongo hako kajamaa.

Anyways siasa zina mambo mengi ikiwa ni pamoja na public sympathy.

Mimi huwezi nidanganya bwana mdogo maana huwa ninafahamu mambo from the ground.
Wewe uliyewahi dai kuwa pale Billcanas ilipovunjwa na kichaa magufuli pakajengwa RITA Tower! Hiyo ndiyo kujua mambo from the ground!? Au sio!?
 
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).

Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701

Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Zito kabwe na ACT wazalendo ni waongo mno siku hizi,

ndiyo maana wanamawenge kichizi.
wanaripoti hiki baada ya muda wanageuza tena,
.Yaan uongo kibao 🐒
 
Duh so wanachunguza alifikaje gogoni kituo cha polisi kwa gari ya Polisi 😀

Kwamba intellegensia ya Zitto ni kali kuliko ya hao Polisi, waliofungua jarada tangu ahsubuhi saa mbili

Imefika time, ulinzi wa Mtanzania uwe juubyake mwenyewe
 
Usimshangae huyo jamaa. Ni mfuasi wa yule kichaa dikteta mwendakuzimu. Aliwalisha sumu mbaya sana Hawa wafuasi wake, kiasi cha kuona sawa watu wakiuawa TU kama mende wanaozurula ndani ya nyumba.
Shida ya hawa watu kila mtu anajifanya special code kama huyu eti Mimi huwezi ni danganya kitu
 
Na m
mi nashauri vijana waachane na siasa tu maana wanageuzwa mbuzi wa kafara na wakuu wa vyama vyao,kwanza tanzania upinzani hakuna haiwezekani kinatawala chama kimoja miaka nenda rudi,hakuna cha demokrasia ni udikteta tu
Ni mambo matano juu yako .
1.Malezi yako ni tatizo
2.Umekaa kijijini tena vile vijiji ambavyo maendeleo kwa siyo Habari
3.Elimu yako bado haijakusaidia!(NENO UKOMBOZI NA UHURU KWAKO NI MSAMIATI MGUMU)
4.Huna uwezo kwenye maisha yako KU-TAKE RISK KWA CHOCHOTE

5.Asili yako umekulia kwenye CCM sana hivyo wewe ni Mtanzania muoga w
 
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).

Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701

Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Zittoooo hahaha 😂 tumkumbushe kuwa Dkt Magufuli hayupo je ana lakusema hahahaha mbona hamtaji Dkt Samia kama alivyokuwa anafanya kwa Dkt Magufuli??? Hahhaa eti anawataka polisi wamuachie hahaha huu mchezo wa siasa balaa
 
Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
chezea tumbo wewe!
 
Zito

Kama kipara au marope ndio anafadhili.chama chako na anampango wa kugombea 2025 halafu kule jimbo la mtama mlipokea wanachama kibao!!!

Jua kwamba ACT mtakua target coz mtakua kikwazo Kwa mtia Nia wa CCM hapo mwakani!!

Source -replies za britanicca kuhusu ufadhili wa.chama chako!!

Anaefuata kutekwa baada ya nondo labda ni wewe!!

Nondo anaenda kuulizwa kuhusu mikakati ya chama chako na urais wa.2025!!

Jiandae!

Mawazo huru!!
 
Aisee ni hatari sana yaani leo hii hii linatokea tukio harafu anatokea mtu na mihuri ya Serikali anatoa taarifa zake harafu baadae watu wanapenyezewa taarifa kuwa huyo mtu yupo hapa na watu wa ndani jua pana watu hawataki hizi mambo ila wanalazimishwa tu...
 
Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Zingine ni takataka mkuu!
 
Zito

Kama kipara au marope ndio anafadhili.chama chako na anampango wa kugombea 2025 halafu kule jimbo la mtama mlipokea wanachama kibao!!!

Jua kwamba ACT mtakua target coz mtakua kikwazo Kwa mtia Nia wa CCM hapo mwakani!!

Source -replies za britanicca kuhusu ufadhili wa.chama chako!!

Anaefuata kutekwa baada ya nondo labda ni wewe!!

Nondo anaenda kuulizwa kuhusu mikakati ya chama chako na urais wa.2025!!

Jiandae!

Mawazo huru!!
Ayatola Zitto hana akili kabisa, tena linapaswa likamatwe na polisi maana haini kabisa likipatikana na hatia lihukumiwe kunyongwa hadi kufa, alitutukania sana Dkt Magufuli wetu kwa dhihaka na kejeli na bado akome kabisa
 
Back
Top Bottom