Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Pre GE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naam, Kama vile KUKU mweupe-white HEN na au KIATU cheusi- black SHOE , aah, lugha zilizo kuja kwenye meli kwa kweli mmh, KAZI ipo !
Hata hivyo tunajitahidi maana hizi lugha zinataka watu wengi waweze kuongea kama Wazambia pale sasa ikitokea mmoja yupo sawa na sisi wengine ndio okota okota inakua shida na huyo mmoja anaejua akitaka kuongea mara kwa mara sisi wachimba chumvi tutamtenga na kusema anajidai huyu..
 
Wewe ni mjinga sana! Magu alikuwa ni shetani mkubwa sana! Pumbavu kabisa Wewe!
Basi endeleeni kuvuna ujinga wenu enyi msiokuwa na akili maana toka enzi zile mungeungana na sisi pamoja na Dkt Magufuli kuwa na ajenda moja ya uadilifu, uwajibikaji na maendeleo maana yake leo haya mambo ya kutekana yasingekuwepo ila nyie mlivyo pimbi mkaingia mkenge wa kushabikia uongo na kumlaumu Dkt Magufuli na mwishowe alivyofariki mkafanya sherehe eti sasa watu hawatekwi hahahaha pimbi sana nyie, bila kujua watekaji ni kundi la wahuni na serikali haihusiki ila ni watu Fulani hata Dkt Samia hahusiki. Poleni sana
 
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).

Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701

Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Kichomwe moto hivho
 
Ungekaa kimya ingekusaidia kuficha upumbavu!
Wewe ndiye pumbavu na kalagabao pimbi mkubwa. Mtekwe tu wajinga nyie maana mlimsema sana Dkt Magufuli na mlishangilia kifo chake. Tena mkifanya nyie pimbi na sisi watanzania wazalendo tutasema Mungu asante kuyaua haya mapinga maendeleo wajinga sana nyie
 
Tunaowatazamia watulinde ndio wanatuteka!
Mambo ya aibu sana haya!
Polisi hawahusiki ni Zitto mwenyewe katengeneza sinema hahaha Nondo asipokuwa makani atakufa maana Ayatola Zitto hataki wa kumzidi ili aendelee kuwa mwenyekiti kama kengeza mbowe
 
Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Unacheza na mwanamke ww🙌🙌😷😷
 
Basi endeleeni kuvuna ujinga wenu enyi msiokuwa na akili maana toka enzi zile mungeungana na sisi pamoja na Dkt Magufuli kuwa na ajenda moja ya uadilifu, uwajibikaji na maendeleo maana yake leo haya mambo ya kutekana yasingekuwepo ila nyie mlivyo pimbi mkaingia mkenge wa kushabikia uongo na kumlaumu Dkt Magufuli na mwishowe alivyofariki mkafanya sherehe eti sasa watu hawatekwi hahahaha pimbi sana nyie, bila kujua watekaji ni kundi la wahuni na serikali haihusiki ila ni watu Fulani hata Dkt Samia hahusiki. Poleni sana
Akili huna.
Huyo unayemtaja ndio muasisi wa utakaje.
Unamjua Ben Saanane? Meko alimuua kwa mikono yake mwenyewe
 
Polisi hawahusiki ni Zitto mwenyewe katengeneza sinema hahaha Nondo asipokuwa makani atakufa maana Ayatola Zitto hataki wa kumzidi ili aendelee kuwa mwenyekiti kama kengeza mbowe
Zero brain
 
wAAYu9E.jpg
 
Akili huna.
Huyo unayemtaja ndio muasisi wa utakaje.
Unamjua Ben Saanane? Meko alimuua kwa mikono yake mwenyewe
Hapana bosi Ben saa 8 aliuawa kwa mkono wa mbowe tena alitekwa akaenda kuuliwa na mbowe kabisa tena wazi wazi na lisu aliponea chupu chupu, mbowe ni jambazi na gaidi kubwa sana hapa nchini
 
Huyu mama Samia anataka atuue watanganyika wote ili abaki peke yake?.Kwa nini Kila siku anawatuma polis wateke na kuua watanganyika?Mama jiuzulu
 
Siyo hivyo mkuu wangu, tuungane hawa akina ayatolla zitoo na mbowe ni magaidi wana vikundi vya utekaji na uuaji, we ona genge la zito lilivyompa kipigo dogo nondo hahaha ila zito comedian sana.
Wewe mzee unajua ukweli unajaribu tu kuhadaa watu
 
Wewe mzee unajua ukweli unajaribu tu kuhadaa watu
Hapana mtoto wangu. Inajulikana kabisa hata Dkt Slaa aliwahi kusena kabisa kuwa mbowe ana kikundi cha ugaidi na mauaji na pia zito aliwahi sema hayo maneno kipindi alitoka chama mfu chadema, kwa hiyo ukiangalia kabisa mbowe hapendi mtu anayenyemelea nafasi yake ya uenyekiti kama alivyomuua ben na baadaye kufanya shambulio la kumuua lisu
 
Tanzania yetu....
Hivi mama,umeridhika na haya yote kweli?
Kama ni maagizo yako I swear mwisho wako waweza kuwa wa aibu.... naamini siyo wewe maana haiwezekani mwanamke mwenye utungu akawa katili kwa watoto wa wenzie namna hii...hapana haiwezekani ikawa ni maagizo yako mama.Daah
Hapana, huyu wala usimlaumu, hapo ndiyo huwa mnakosea, na wanawacheka sana. Ni system, inaitwa CCM system; hata ukimtoa huyu system ipo pale pale, kila kitu kilipangwa, na kimekomaa. Ondoa System - yaani CCM system. CCM system imeunganisha vyote - Polisi-TISS-Takukuru-JWTZ-Bunge-Mahakama. Vinasimamiwa na Muhimili mkuu-Executive. kila Ajaye husomewa msaafu wa System yaani CCM system. Anayeenda kinyume basi lazima aondoke.

Hata huyu yupo tu kwa kusikilza system, hana uwezo wa kubisha.

Wananchi ondoeni System yaani system mtaona ukoko wa jungu kuu!!!
 
Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam.

Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na Msemaji wa polisi na kuwekwa zingine).

Soma Pia: Kuelekea 2025 - News Alert: - Dar: Abdul Nondo amechukuliwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

Picha chini ndio gari iliyomteka Nondo ikiwa Kituo cha Polisi Gogoni, Kibamba.
View attachment 3166701

Polisi ni dhahiri mpo na Nondo, tafadhali mwacheni huru akiwa mzima wa afya BILA HATA MCHUBUKO! Tafadhali Tafadhali Tafadhali!
Huu ni utekaji unaratibu na mwenye nguvu sana. Hata Polisi tanawalaumu bure hawahusiki na hata wanaoteka watakuwa wanatumwa tu na asipotekeleza anapoteza ugali wake.
 
Back
Top Bottom