GE2025 Zitto: Tumeshajua wanaibaje kura, tumepata mbinu ya kuwakabili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
267
Reaction score
1,014
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

huyu msimuamini, wao wameshampangia majimbo. ACT watafanya kugundua mbinu kumbe ni pre arranged scum
 
..wananchi wamekata tamaa kupiga kura.

..ni vigumu sana kuwahamasisha wakapambane siku ya uchaguzi kulinda kura.

..elimu iliyotolewa na Chadema kuhusu udhaifu na ubovu wa mifumo yetu ya uchaguzi imeeleweka na wananchi walio wengi.

..Na mtihani mkubwa sana kuwabadilisha wananchi mawazo katika hatua hii.

..CHADEMA wanahitajika kwenda kuzungumza na wananchi. Na wanatakiwa wawe na sababu za msingi kwelikweli kuwashawishi wananchi wakashiriki uchaguzi.
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

Zitto huna jipya kaka .Achana na siasa natamani nikutane na yule zzk aliyekuwa naibu katibu bara wa chadema.Nimuulize maswali sijui ntamuona wapi🤔
 
Huyu naye bolizozo tamaa tu zimemjaa..!!
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

Heshima ya Zitto imeporomoka kama tako bandia.
 
Vyama vingine ambavyo vimesusa uchaguzi ni Vyama gani?
Yeye aseme chama, siyo vyama. Aache kuisimanga chadema, vyama vilivyoamua kushiriki viko 18 Zitto atulie.
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

Asiyejua kuwa zito kavaa chupi ya kike yenye maneno ya mitano tena ni nani?
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

Zito tapeli wa siasa. 😂😂😂😂
 
Hakuna uchaguzi ni kupoteza muda tuu, pesa na haki za wananchi , mtu yeyote anayeipenda Tanzania hana sababu ya kupiga kura, siku ya uchaguzi iwe siku rasmi ya kuwacheka na kuwazomea kuanzia vituoni mpaka mitandaoni
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

Hili jamaa pumbavu kabisa! Sasa mapolisi atawadhibiti vipi kutoingiza hizo kura vituoni? Atawakagua mapolisi? Jinga kabisa hili!
 
Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.

Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.

Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.

Huyu Zitto ni mjinga, halafu anadhani watanzania wengine nao ni wajinga kama yeye!
Nani ambaye hajui au hakujua namna kura zinavyoibwa na maCCM?

Mbinu zote za wizi wa kura zinazofanywa na CCM zilishafahamika tangu mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa. Hakuna kipya.
 
Back
Top Bottom