Ninapo zungumzia GENGE la Samia Suluhu Hassan, linaloibomoa nchi hii; huyu Zitto ni askari muhimu katika GENGE hiloPandikizi linahangaika kweli lakini haliwezi chochote

Uko sahihi huyu Zito ni mjinga kama chaguzi zote zilizofanyika na kura kuwa zinaibiwa yeye leo ndiyo amejua namna kura zinavyoibiwa basi kama siyo mjinga ni nani.Huyu Zitto ni mjinga, halafu anadhani watanzania wengine nao ni wajinga kama yeye!
Nani ambaye hajui au hakujua namna kura zinavyoibwa na maCCM?
Mbinu zote za wizi wa kura zinazofanywa na CCM zilishafahamika tangu mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa. Hakuna kipya.
Kitakachokuwa tofauti safari hii, ili kumlinda Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa kwenye madaraka; wapo tayari kumwaga damu ya waTanzania.Huyu Zitto ni mjinga, halafu anadhani watanzania wengine nao ni wajinga kama yeye!
Nani ambaye hajui au hakujua namna kura zinavyoibwa na maCCM?
Mbinu zote za wizi wa kura zinazofanywa na CCM zilishafahamika tangu mwaka 1992 wakati mfumo wa vyama vingi ulipoanzishwa. Hakuna kipya.
Hapana. Ila bado kuna mafala wengi tu wanaomwamini Lissu na CDM
CHADEMA wenyewe wamefungwa, kuanzia kiongozi wao mkuu hadi chama; na wananchi wanayaona haya!..wananchi wamekata tamaa kupiga kura.
..ni vigumu sana kuwahamasisha wakapambane siku ya uchaguzi kulinda kura.
..elimu iliyotolewa na Chadema kuhusu udhaifu na ubovu wa mifumo yetu ya uchaguzi imeeleweka na wananchi walio wengi.
..Na mtihani mkubwa sana kuwabadilisha wananchi mawazo katika hatua hii.
..CHADEMA wanahitajika kwenda kuzungumza na wananchi. Na wanatakiwa wawe na sababu za msingi kwelikweli kuwashawishi wananchi wakashiriki uchaguzi.
Hakika😁😁😁😁😁Kurogwa siyo lazima uokote makopo 🐼
..wananchi wamekata tamaa kupiga kura.
..ni vigumu sana kuwahamasisha wakapambane siku ya uchaguzi kulinda kura.
..elimu iliyotolewa na Chadema kuhusu udhaifu na ubovu wa mifumo yetu ya uchaguzi imeeleweka na wananchi walio wengi.
..Na mtihani mkubwa sana kuwabadilisha wananchi mawazo katika hatua hii.
..CHADEMA wanahitajika kwenda kuzungumza na wananchi. Na wanatakiwa wawe na sababu za msingi kwelikweli kuwashawishi wananchi wakashiriki uchaguzi.
CCM hawewezi kabisa kufanya reforms, hawawezi kufanya jambo linalowaweza kurahisisha wao kutoka madarakani. Swali ni je Chadema watachukua mda gani ku resist na huo msimamo wao?
Zi to o akili 0Huyu Zitto ni mjinga, halafu anadhani watanzania wengine nao ni wajinga kama yeye!