naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 2,033
- 4,701
Na ccm walivo vigeu geu akipata hayo majimbo mniite dog 😪huyu msimuamini, wao wameshampangia majimbo. ACT watafanya kugundua mbinu kumbe ni pre arranged scum

Yaani huyu jamaa ananitia kichefuchefu aisee! Sasa kama Tunduru mna wanachama wengi kuliko chama kingine chochote mbona hamkushinda ubunge hapo au udiwani? Nyoko nina zake huyu!Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
NiKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Ni kosa kubwa sana kumuamini huyu mganga, hili ni duka la ccm.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
hawawezi kumpa, incumbents wakale wapi?Na ccm walivo vigeu geu akipata hayo majimbo mniite dog 😪
Huyu mkoma naye naona cd4 zimeshuka sasa ngoma iko utosini kabisa.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Muongo huyoKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Nondo na ShaibuHivi bado kuna fala yoyote hapa bongo anaemuamini zitto.
Clown🤡
Hata kama nitashawishiwa na nani ni bora kusalia nayakwangu.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
yuko sahihi kwa upande wake, kwani kila kiongozi anatetea chama chake..kama ilivokwa vyama vingine ukitegemea kuungwa mkono na vyama vingine utachelewa saaana kwani siasa zetu nizakujikomboa mwenyewe na kuangushana kimawazo na fikra..Zitto hataki unafki.. TANZANIA BILA VYAMA VYA SIASA BADO ITABAKI KUWA NGANGARI.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Moyo wa mtu upo hazina yake ilipo!Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Huyu hana tofauti na Madeleka aliyesema kila polisi atapata Land Cruiser. Zitto kaisha kabisa kisiasa ndo maana anapelekewa moto hata na Babalevo.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Nacheka kama mzruri, kwamba miaka yote Zitto akiwa chadema alikua hajui ccm wanaiba kura kivipi, leo 2025 ndo anajua , kweli mtaji wa maskini ni akili yake mwenyewe,Zitto Mungu anakuona.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Pandikizi linahangaika kweli lakini haliwezi chochoteKwi Kwi Kwi
Huo ulikuwa ni mkutano wa ndani?Kwi Kwi Kwi
Huyu hakuna anayemwamini Ila fala wengi wanaamini bado CCM inaweza kuwafikisha nchi ya ahadi na siyo nchi ya adhabu.Hivi bado kuna fala yoyote hapa bongo anaemuamini zitto.
Clown🤡