Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
huyu msimuamini, wao wameshampangia majimbo. ACT watafanya kugundua mbinu kumbe ni pre arranged scumKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Hapana. Ila bado kuna mafala wengi tu wanaomwamini Lissu na CDMHivi bado kuna fala yoyote hapa bongo anaemuamini zitto.
Clownπ€‘
Zitto huna jipya kaka .Achana na siasa natamani nikutane na yule zzk aliyekuwa naibu katibu bara wa chadema.Nimuulize maswali sijui ntamuona wapiπ€Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Heshima ya Zitto imeporomoka kama tako bandia.Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Vyama vingine ambavyo vimesusa uchaguzi ni Vyama gani?Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Asiyejua kuwa zito kavaa chupi ya kike yenye maneno ya mitano tena ni nani?Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Zito tapeli wa siasa. ππππKiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Hili jamaa pumbavu kabisa! Sasa mapolisi atawadhibiti vipi kutoingiza hizo kura vituoni? Atawakagua mapolisi? Jinga kabisa hili!Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.
Ameyasema hayo leo Julai 9, 2025 alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma.
Aidha, Zitto amevitaka vyama vingine vya siasa kutoingilia uamuzi wa ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi kama ambavyo chenyewe hakiingilii uamuzi wa vyama hivyo.
Huyu Zitto ni mjinga, halafu anadhani watanzania wengine nao ni wajinga kama yeye!Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema wanajua yaliyotokea katika chaguzi za 2019, 2020 na 2024 na wanajua jinsi kura zinavyoibwa kwenye vituo vya kupigia kura, hivyo watapambana nao.