GE2025 Zitto: Tumeshajua wanaibaje kura, tumepata mbinu ya kuwakabili

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Pandikizi linahangaika kweli lakini haliwezi chochote
Ninapo zungumzia GENGE la Samia Suluhu Hassan, linaloibomoa nchi hii; huyu Zitto ni askari muhimu katika GENGE hilo
 
Uko sahihi huyu Zito ni mjinga kama chaguzi zote zilizofanyika na kura kuwa zinaibiwa yeye leo ndiyo amejua namna kura zinavyoibiwa basi kama siyo mjinga ni nani.
 
Kitakachokuwa tofauti safari hii, ili kumlinda Samia Suluhu Hassan aendelee kuwa kwenye madaraka; wapo tayari kumwaga damu ya waTanzania.
Njia za wizi wa kura zilizo tumika huko kwenye chaguzi zilizopita hazikuwahi kukazia hili la matumizi ya nguvu kubaki madarakani kama ilivyo safari hii.
 
CHADEMA wenyewe wamefungwa, kuanzia kiongozi wao mkuu hadi chama; na wananchi wanayaona haya!

Kazi muhimu iliyobaki kwa CHADEMA, na sijui wataitimiza vipi: kuwafikia mamilioni ya wana CCM ambao chama chao kimetekwa na kutumiwa na GENGE; hawa nao washiriki katika kukiokoa chama chao na kuiokoa nchi kwa kukataa kushiriki mazingaombwe ya uchaguzi.
 

CCM hawewezi kabisa kufanya reforms, hawawezi kufanya jambo linalowaweza kurahisisha wao kutoka madarakani. Swali ni je Chadema watachukua mda gani ku resist na huo msimamo wao?
 
CCM hawewezi kabisa kufanya reforms, hawawezi kufanya jambo linalowaweza kurahisisha wao kutoka madarakani. Swali ni je Chadema watachukua mda gani ku resist na huo msimamo wao?

..inasemekana tafiti zimefanyika na zinaonyesha kuwa Samia atashinda kwa asilimia zaidi ya 80%.

..sasa katika mazingira hayo sijui kwanini hawataki kufanya Reforms ambazo kwa maoni yangu zitawaongezea sifa na heshima kwa chama chao.
 
Zi to o akili 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ