Zitto: Umeme wa Gesi ungezalisha MW 3,500 zaidi ya wa Maji

Gas ilishauzwa na mikataba michafu wakati wa JK na serikali haikuwa na jinsi zaidi ya kuanza mradi wa HEP.. Gas yetu ingekuwa Tanesco inauziwa na kampuni za kigeni hivyo bei ya umeme ingekuwa hatuna control nayo, ni hatari sana, kheri mara 100% umeme wa maji. Zitto afunge domo lake tu.
 
Yaani Tanzania karibu miaka ishirini yote nasikia tu mradi wa umeme mradi wa umeme yaani hakuna anaefanikiwa akija huyu na mwingine anakuja na wake utadhani wanajenga nyumba tofauti...sema yule jamaa katupeleka chaka mno
Si wameamua kujenga H.E.P hapo rufiji
Na ikikamilika basi shida ya umeme bye bye

Ova
 
Msidhani wazungu wanatupenda sana. Gesi sawa lakini umeme wa maji namba moja. Tusiendekeze siasa.
 
Shida ya nchi hii hatuna consistent policies na progrs. Ilani za uchaguzi zaCCM zinabadilika kila kipindi cha uchaguzi.
 
Unajua ufisadi wewe kinda! Kalale kwanza maana hujui unalosema
 
Wewe Zito in kibaraka wamabeberu! Unazungumzia gesi IPI? Hii ya kwetu ulishiriki kuiuza kwa hati ya dharula bungeni! Wakikupandishia bei utafanyaje wakati gesi ni yao maana mliwauzia? Au wakigoma kukuuzia utafanyaje? Wakiamua tu kukuhujumu utafanyaje? Hatutaki tena uchumi tegemezi.
 
Tusichimbe gas mpaka tuwe na uwezo wa kuchimba wenyewe. Gas haiozi wala haitohama.. Mambo ya kumuachia mzungu kila kitu ni kurejesha ukoloni
 
Naam, Uncle
 
Baada ya kujenga Mtambo wa gesi utabidi kila siku ununue gesi,

Hivi hawa akina zitto wanafikiriaga mata**k
Pia maintenance ya mitambo ya kufua umeme kwa gesi ni gharama sana kuliko mitambo HEP. Kwasa babu HEP hakuna joto linalozalishwa katika kufua umeme wakati umeme wa gas joto linahitaji service ya mitambo mara kwa lakini pia mitambo huchakaa mapema.
 
Kama mradi una feasibility studies ya miaka 70s, je bwawa linaendana kama fasheni za nguo? Kama bwawa linaendana kifasheni kwanini tunaendelea kutumia KIDATU?


Kidatu sio bwawa ni maporomoko, tofautisha kati ya Bwawa na Maporomoko Dam and falls), Bwawa linajengwa kuzuia maji ili yatiririke kwa utaratibu fulani kuendesha mitambo ya kuzalishia umeme, Maporomoko mara nyingi huwa ni tukio la asili ambapo Maji yanayoporomoka hutegwa sehemu fulani na yanapoporomoka huendesha mashine ya kuzalisha umeme.
 

mkuu uwe unaacha ujinga hata mara moja moja basi.

mbona siasa zinawaharibu hivi!!mnafanya haya kwa maslahi ya taifa kweli??
 
Ukijiona una akili nyingi kuliko wenzio tabu sana.. Sasa mfumo wa maji ni mwepesi na utakuwa nao miaka mingi.. Gesi kuna kipindi itakwisha kama warabu wanavyo umiza kichwa mafuta yanaanza kupungua ardhini..
 
Nilichogundua wezi wa hii nchi hawana aibu, wanajitokeza na kupambania udharimu wao hadharani.

Zitto ni Ntu wa Dili
 
Kwaiyo yanaitwa maporomoko ya kidatu?

So jibu nilichouliza maana iwe maporomoko au bwawa lakini zote zina function aina moja ya power, kwanini tusifukie hayo maporomoko ya KIDATU?

Maana tunatakiwa kwenda na fasheni,wajuzi(Porofesa Muongo) na wanasema gesi ndio mpango mzima. Je nchi zinazotumia gesi as source of power wamefukia mabwawa na maporomoko yao?
 

Una uhakika gani na bei ya umeme wa maji, wakati anayetekeleza umeme wa maji, mwezi Desemba mwaka jana alisema ATCL imepata faida ya 28b, wakati si kweli? Hao wanaosema bei ya umeme wa maji itakuwa ndogo, ndio hao wameshindwa kushusha bei ya sukari na mafuta ya kula.
 
Tulikabidhi nchi kwa limbukeni.
 
S
So sad!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…