Mimi siungi mkono watu kusamehewa madeni. Ninachoona kinafaa ni kubadili namna ya ulipaji hayo madeni. Mwafrika hana akili. Unaweza kumsamehe deni halafu viongozi wakatumia huo mwanya kupora rasilimali kama ilivyokuwa EPA enzi ya Mkapa. Na mpaka sasa hela hazijulikani kama zilirudi. Mwafrika ni STUPID by nature.ngusillo,
Teyari kuna hoja zimeanza kutolewa kuwa kutokana na hili janga,nchi za kiafrika zenye madeni makubwa zisamehewe madeni yake hivyo wacha tusubiri kama jambo hili litakuwa implemented.
Kwani Bulembo sio baba mkwe wake na ZZK? Anataka binti yake awe mjane?Ila walisikiliza ushauri wa Bulembo wa kumuua Zitto huku mchungaji Lwakatare akishangilia , matokeo yake Zitto hajafa bali corona imeingia .
Kwa vile shughuli za kuingiza kipato zitakua interrupted, muswada pia ujumuishe kupatia kila familia/kaya cheki ya walau laki mbili za matumizi, au kusitisha tozo za umeme, maji na huduma za afya.
😆😆😆😆😆Mimi siungi mkono watu kusamehewa madeni. Ninachoona kinafaa ni kubadili namna ya ulipaji hayo madeni. Mwafrika hana akili. Unaweza kumsamehe deni halafu viongozi wakatumia huo mwanya kupora rasilimali kama ilivyokuwa EPA enzi ya Mkapa. Na mpaka sasa hela hazijulikani kama zilirudi. Mwafrika ni STUPID by nature.
Ngumu sana hasa sisi wa uswazi unga robo,sukari ya pakiti sh 50,mafuta ya 200 na kiberiti unaazima kwa jirani.Hivi unaweza ukamzuia mbongo ukamwambia akae Ndani kipindi cha wiki 2 asitoke kwenda popote huku ukimsisitiza aweke stock ya nahitaji yake na Chakula?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngumu sana hasa sisi wa uswazi unga robo,sukari ya pakiti sh 50,mafuta ya 200 na kiberiti unaazima kwa jirani.
Mkuu angalau sasa roho yako imekuwa kwatuuuuu baada ya korona kuingia Tanzania, kweli Mungu anasikia maombi ya waja wake!Duh! Zitto umeongea jambo la msingi nimeona tija ya wewe kuwa mchumi! ukweli njaa inakuja.
I wish you could have known what kind of person I am. Haya umeshinda let's cut it short. Siku njema na ubarikiweKtk mtu ambaye ni low minded ni wewe ,in the usage of the word pathetic, in the issue at hand as well as in the context of the economy/ economical point of view, u r mind is of a baby who is still sucking his/her mother for food and if someone passes near you will smell milk or equally to a person who has not gone for circumcision and if you are female u have not pass by those initiation whereby , they are advice by their shangazi's ,
And I don't need to know u other than to note your shallowness and advice u accordingly.