Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

ngusillo,
Teyari kuna hoja zimeanza kutolewa kuwa kutokana na hili janga,nchi za kiafrika zenye madeni makubwa zisamehewe madeni yake hivyo wacha tusubiri kama jambo hili litakuwa implemented.
Mimi siungi mkono watu kusamehewa madeni. Ninachoona kinafaa ni kubadili namna ya ulipaji hayo madeni. Mwafrika hana akili. Unaweza kumsamehe deni halafu viongozi wakatumia huo mwanya kupora rasilimali kama ilivyokuwa EPA enzi ya Mkapa. Na mpaka sasa hela hazijulikani kama zilirudi. Mwafrika ni STUPID by nature.
 
Mimi siungi mkono watu kusamehewa madeni. Ninachoona kinafaa ni kubadili namna ya ulipaji hayo madeni. Mwafrika hana akili. Unaweza kumsamehe deni halafu viongozi wakatumia huo mwanya kupora rasilimali kama ilivyokuwa EPA enzi ya Mkapa. Na mpaka sasa hela hazijulikani kama zilirudi. Mwafrika ni STUPID by nature.
😆😆😆😆😆
 
August,
Kuna kitu una lack mkuu, tutafika tu ni hivi kuna general and individual responsibilities pertaing to the social service provisions. Wewe utatimiza yanayokuhusu kama mwananchi na serikali itatimiza yake ambayo Katiba inaielekeza kunafanya kwa wananchi wake.
 
Duh! Zitto umeongea jambo la msingi nimeona tija ya wewe kuwa mchumi! ukweli njaa inakuja.
Mkuu angalau sasa roho yako imekuwa kwatuuuuu baada ya korona kuingia Tanzania, kweli Mungu anasikia maombi ya waja wake!
 
Katika Kipindi hiki kigumu cha COVID-19, Serikali ulimwenguni zinasaidia wananchi wake. Tanzania kuna wananchi wanyonge na masikini wengi, hawana akiba ya fedha, kwa sababu ya udogo wa kipato.

Mfano, Sekta ya Utalii imepata pigo kubwa, wafanyakazi kupewa likizo bila malipo. Pia kukosekana mapato katika tourism, agriculture consumers imedrop mno, Kilimo kimeathirika, wakulima wameathirika kimapato.

Ni vigumu kugawa pesa kama USA, Serikali ifanye Subsdize katika huduma muhimu kama Unga, Mafuta kupikia, Gesi ya kupikia, Umeme. Serikali ipunguze kodi katika hizi bidhaa ili zipungue bei na wanyonge wasiteseke. Kuna PESA za Mwenge na pesa za maafa ..ziende huko.

Serikali iongee na Bakresa na Mo, na wazalishaji wengine, ili Wapunguze bei za unga na Mafuta, then Serikali ifidie. Na Wasambazaji wa gesi za majumbani, serikali iongee nao, gesi ipungue bei...Pili itaokoa mazingira na kufuta matumizi ya mkaa.

Wabunge wote, na wanaharakati, muishauri serikali.
 
Kuntu Mkuu
1.Utalii imethirika sana ,lazima wapewe compasation.
2.Magereza yafungwe,kama zilivyofungwa shule,na wafungwa wote wasamehehwe na kuachwa huru.
3.kambi za jeshi zote zifungwe ,wabaki walinzi tuu, waliobaki warui majumbani,au wanajeshi wasitoke kambinikwao kuja kitaa.
4.Bunge,liahirishwe hadi korona iishe.
Serikali apumzike,kazi zote afanye maamuji Jiwe pekeyake yeye na majaliwa na makamo wake.
5.Viwanda ,mashirika ya umma na wizara za serikali,idara zenye kuusanya watuwengi zote zifungwe .
Usafiri wa Zanzibar na Dar usimamishwe kwa njia ya Boti au Ndege
Mwisho kabisa watu wasije mjini mpaka kwa kibali maalumu cha serikali ya mtaa kwa haja maalumu.
 
Ktk mtu ambaye ni low minded ni wewe ,in the usage of the word pathetic, in the issue at hand as well as in the context of the economy/ economical point of view, u r mind is of a baby who is still sucking his/her mother for food and if someone passes near you will smell milk or equally to a person who has not gone for circumcision and if you are female u have not pass by those initiation whereby , they are advice by their shangazi's ,
And I don't need to know u other than to note your shallowness and advice u accordingly.
I wish you could have known what kind of person I am. Haya umeshinda let's cut it short. Siku njema na ubarikiwe
 
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;

Mitandao ya simu Tanzania tusaidieni katika kupambana na Coronavirus Outbreak.

(1) Emergency Number ya kutoa taarifa juu ya uwepo wa mgonjwa mwenye dalili ya Corona NI NDEFU NA NGUMU SANA KUKARIRI (Almost seven digits) hivyo iwekwe katika Menu za Mobile Money (M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money, Halopesa) kwa muda mpaka tatizo litakapoisha.

Kwenye Menu za huduma za Mobile Money kinaweza kuongezwa kipengele za Corona Msaada

(2) Maelezo juu ya njia sahihi za kujikinga na Coronavirus yanaweza kuwekwa katika customer caring number 100 kama ambavyo watu hupiga simu na kupata maelezo juu ya huduma mbalimbali zitolewazo na mtandao husika.

KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Kutokana na janga la ugonjwa wa Covid-19, napendekeza Vyama vya siasa, Makampuni, Mashirika, asasi na wadau mbalimbali kuiunga mkono serikali na mapambano dhidi ya Coronavirus.

Napendekeza serikali ianzishe njia mbalimbali za uchangiaji ikiwemo M-PESA, HALOPESA, TIGOPESA, AIRTEL MONEY, T-PESA, Account za Bank nk.

Fedha hizo zitumike kwa ajili ya kupambana na Coronavirus tu. Kama fedha hizo zitabaki, zitumike kwa ajili ya miradi ya Afya.

Nawasilisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom