Fungeni mipaka! mnaacha kuchukua hatua mnalialia tu. Tumewapa nji muongoze inaanza kuwashindaSijui serikali itanunua chakula na kugawa kwa muda gani maana hatujui janga litaisha lini. Hali kadhalika sijui iitawafidia wafanyabiashara na kulinda ajira za wafanyakazi sekta ya utalii kwa muda gani. Je, ugonjwa ukiwa endelevu kwa mwaka mmoja aù miaka kadhaa?
Nawaza sipati jibu. Na hizo sanitiza tutanawa mpaka lini sijui. Naona tunautazama huu ugonjwa kwa namna ya mlipuko wa muda mfupi, na ninaombea iwe hivyo. Ukituganda kwa muda mrefu sijui hali itakuwaje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto
#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.
- Tunaona Nchi nyengine kukiwa na ‘panic’ ya chakula. Watu wetu ni fukara sana, bei za chakula zitapanda na wengi hawatamudu.
Pia Serikali haina Akiba ya kutosha ya chakula kwenye ghala la Taifa. Kuna nafaka ya kutosha Siku 3 tu kwa kila Mtanzania. Ni vema Serikali kufanya uamuzi wa haraka kununua chakula ili kukigawa maeneo itakapohitajika.
- Tanzania inategemea Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa katika Mapato ya Fedha za kigeni na ajira kwa raia wake. Mlipuko huu unaathiri sana sekta hii ambayo inaingizia Taifa wastani wa Dola za Marekani 2.5 bilioni kwa Mwaka sawa na 25% ya Mapato yote ya Fedha za kigeni yanayoingia nchini.
Naishauri Serikali kukutana na Wafanyabiashara wote kwenye sekta ya Utalii na Vyama vya Wafanyakazi kwenye sekta hiyo kwa lengo la kupata tathmini ya Pamoja ya madhara ya mlipuko huu kwa sekta ya Utalii na huduma zake.
Serikali itazame namna ya kuwafidia ( stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs).
- Waziri wa Fedha na Uchumi apeleke Bungeni Taarifa ya utafiti wa madhara ya mlipuko wa Korona kwa Uchumi wa Tanzania kwa ujumla na Bunge lijadili Kwa maslahi ya Taifa ili kutoa mapendekezo ya kibajeti kuhami Uchumi wa Nchi yetu na haswa kulinda biashara ndogo, Wafanyakazi kwenye sekta zilizo hatarini kama Utalii, huduma za vyakula, usafirishaji na uchuuzi.
Zitto Kabwe, MP
Kiongozi wa Chama
ACT Wazalendo
17/3/2020
Hopefully so but not on the basis of childishly, and that responsibility is there to any parent, but the limitation are also there , to be considered , Mimi wakwangu alitaka heaven of peace, lakini nikamwambia siwezi hiyo ni primary , secondary alitaka feza, lakini kwa idadi ya watoto nilimwambia siwezi, na sasa hivi yupo ameridhika na shule zetu za Kati na Nina mshukuru Mungu anafanya vizuri . Na tuendele kumuombea kwa hilo na mengineyo.August,
Kuna kitu una lack mkuu, tutafika tu ni hivi kuna general and individual responsibilities pertaing to the social service provisions. Wewe utatimiza yanayokuhusu kama mwananchi na serikali itatimiza yake ambayo Katiba inaielekeza kunafanya kwa wananchi wake.
Even me I would like u to be a good and a wise person , but first of all by usage of the word pathetic it shows you as a different animal , contrary to what you would like people to know U.I wish you could have known what kind of person I am. Haya umeshinda let's cut it short. Siku njema na ubarikiwe
That's all you could say ahuh? You got me wrong buddyEven me I would like u to be a good and a wise person , but first of all by usage of the word pathetic it shows you as a different animal , contrary to what you would like people to know U.
And it is used to describe a bad situation or a bad thing , but not a bad opinion.
That's an individual responsibility na ulifanya vyema kuumpa muongozo mapema mwanao ili asije akabweteka akijua kuwa nitafanyiwa hivi na vile bila kutambua nafasi yake kwenye jamii.Hopefully so but not on the basis of childishly, and that responsibility is there to any parent, but the limitation are also there , to be considered , Mimi wakwangu alitaka heaven of peace, lakini nikamwambia siwezi hiyo ni primary , secondary alitaka feza, lakini kwa idadi ya watoto nilimwambia siwezi, na sasa hivi yupo ameridhika na shule zetu za Kati na Nina mshukuru Mungu anafanya vizuri . Na tuendele kumuombea kwa hilo na mengineyo.
Tofautisha wafanyakazi na wavuja jashoMmh, sijui hapo kwenye pay roll cost, maana kama mshahara haujawahi kupanda kwa wavuja jasho, halafu kufikiria kuwapa watu mshahara wasioufanyiakazi, unaweza ukasikia kuwa hata biblia imekataza, asiyefanyakazi na asile ikawa stop.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nasikia tu jamii forum,kumbe Mambo yake ni siasa,?Mimi sio mwana siasa,ngoja niwaachie wanasiasa,najitoa,Huu ugonjwa unahitaji comprehensive approach. Moja ya hizo ni hizi zinazokuwa advanced na mh. Zitto hapa.
Tuacheni mzaha. Serikali sikilizeni miito hii. Hawa ni wana wa nchi hii wakitoa mawazo yao bora kabisa for the best of our motherland.
Huwa nasikia tu jamii forum,kumbe Mambo yake ni siasa,?Mimi sio mwana siasa,ngoja niwaachie wanasiasa,najitoa,
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto
#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.
- Tunaona Nchi nyengine kukiwa na ‘panic’ ya chakula. Watu wetu ni fukara sana, bei za chakula zitapanda na wengi hawatamudu.
Pia Serikali haina Akiba ya kutosha ya chakula kwenye ghala la Taifa. Kuna nafaka ya kutosha Siku 3 tu kwa kila Mtanzania. Ni vema Serikali kufanya uamuzi wa haraka kununua chakula ili kukigawa maeneo itakapohitajika.
- Tanzania inategemea Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa katika Mapato ya Fedha za kigeni na ajira kwa raia wake. Mlipuko huu unaathiri sana sekta hii ambayo inaingizia Taifa wastani wa Dola za Marekani 2.5 bilioni kwa Mwaka sawa na 25% ya Mapato yote ya Fedha za kigeni yanayoingia nchini.
Naishauri Serikali kukutana na Wafanyabiashara wote kwenye sekta ya Utalii na Vyama vya Wafanyakazi kwenye sekta hiyo kwa lengo la kupata tathmini ya Pamoja ya madhara ya mlipuko huu kwa sekta ya Utalii na huduma zake.
Serikali itazame namna ya kuwafidia ( stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs).
- Waziri wa Fedha na Uchumi apeleke Bungeni Taarifa ya utafiti wa madhara ya mlipuko wa Korona kwa Uchumi wa Tanzania kwa ujumla na Bunge lijadili Kwa maslahi ya Taifa ili kutoa mapendekezo ya kibajeti kuhami Uchumi wa Nchi yetu na haswa kulinda biashara ndogo, Wafanyakazi kwenye sekta zilizo hatarini kama Utalii, huduma za vyakula, usafirishaji na uchuuzi.
Zitto Kabwe, MP
Kiongozi wa Chama
ACT Wazalendo
17/3/2020
[/QUOT

Kwa hiyo wewe unaona Mike ndio mtu mwenye busara sana hapa duniani? Akisema jambo ndio bac lina mantiki!Hapa kwenye utalii ndiyo palitufanya kuwa mabubu wa Ebola mpaka Pompeo alitusuta.
Kuleta shida kiuchumi maana yake ni kuwa akiba yote itaisha kwa mwezi mmoja?! Mpaka sasa Corona ishaleta shida kiuchumi karibu dunia nzima.PROPAGANDA VS UHALISIA
"Nchi yetu ina akiba ya US$5.4bn zinaweza kununua bidhaa kwa miezi 6, hatujawahi kuwa na kiasi hicho cha fedha tangu tupate Uhuru" Magufuli
GHAFLA👇
"Ukizuia watalii kuingia nchini kwa mwezi mmoja italeta shida kiuchumi. Tunaomba Mungu ugonjwa (COVID-19) uondoke" polepole