Zitto: Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona

Sijui serikali itanunua chakula na kugawa kwa muda gani maana hatujui janga litaisha lini. Hali kadhalika sijui iitawafidia wafanyabiashara na kulinda ajira za wafanyakazi sekta ya utalii kwa muda gani. Je, ugonjwa ukiwa endelevu kwa mwaka mmoja aù miaka kadhaa?

Nawaza sipati jibu. Na hizo sanitiza tutanawa mpaka lini sijui. Naona tunautazama huu ugonjwa kwa namna ya mlipuko wa muda mfupi, na ninaombea iwe hivyo. Ukituganda kwa muda mrefu sijui hali itakuwaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Fungeni mipaka! mnaacha kuchukua hatua mnalialia tu. Tumewapa nji muongoze inaanza kuwashinda
 
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto

#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.

- Tunaona Nchi nyengine kukiwa na ‘panic’ ya chakula. Watu wetu ni fukara sana, bei za chakula zitapanda na wengi hawatamudu.

Pia Serikali haina Akiba ya kutosha ya chakula kwenye ghala la Taifa. Kuna nafaka ya kutosha Siku 3 tu kwa kila Mtanzania. Ni vema Serikali kufanya uamuzi wa haraka kununua chakula ili kukigawa maeneo itakapohitajika.

- Tanzania inategemea Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa katika Mapato ya Fedha za kigeni na ajira kwa raia wake. Mlipuko huu unaathiri sana sekta hii ambayo inaingizia Taifa wastani wa Dola za Marekani 2.5 bilioni kwa Mwaka sawa na 25% ya Mapato yote ya Fedha za kigeni yanayoingia nchini.

Naishauri Serikali kukutana na Wafanyabiashara wote kwenye sekta ya Utalii na Vyama vya Wafanyakazi kwenye sekta hiyo kwa lengo la kupata tathmini ya Pamoja ya madhara ya mlipuko huu kwa sekta ya Utalii na huduma zake.

Serikali itazame namna ya kuwafidia ( stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs).

- Waziri wa Fedha na Uchumi apeleke Bungeni Taarifa ya utafiti wa madhara ya mlipuko wa Korona kwa Uchumi wa Tanzania kwa ujumla na Bunge lijadili Kwa maslahi ya Taifa ili kutoa mapendekezo ya kibajeti kuhami Uchumi wa Nchi yetu na haswa kulinda biashara ndogo, Wafanyakazi kwenye sekta zilizo hatarini kama Utalii, huduma za vyakula, usafirishaji na uchuuzi.

Zitto Kabwe, MP
Kiongozi wa Chama
ACT Wazalendo
17/3/2020

Very unfortunately wanaoshauriwa wanaamini wao ndio wanajua zaidi, wanapenda zaidi vitu kuliko watu, utu na ubinadamu. Haya ya kufidia na kutoa msaada ni mpaka uone thamani ya utu. Viongozi wetu ukishauri kuhusu madaraja, barabara, ndege and etal ndio wanaelewa zaidi.

Ila kiukweli huruma inahitajika sasa, tuliwaombea sana sasa zamu yao kutuhurumia sie raia hali zetu kiuchumi toka Bwana John na wenzake watawale ni ngumu mno.
 
August,
Kuna kitu una lack mkuu, tutafika tu ni hivi kuna general and individual responsibilities pertaing to the social service provisions. Wewe utatimiza yanayokuhusu kama mwananchi na serikali itatimiza yake ambayo Katiba inaielekeza kunafanya kwa wananchi wake.
Hopefully so but not on the basis of childishly, and that responsibility is there to any parent, but the limitation are also there , to be considered , Mimi wakwangu alitaka heaven of peace, lakini nikamwambia siwezi hiyo ni primary , secondary alitaka feza, lakini kwa idadi ya watoto nilimwambia siwezi, na sasa hivi yupo ameridhika na shule zetu za Kati na Nina mshukuru Mungu anafanya vizuri . Na tuendele kumuombea kwa hilo na mengineyo.
 
I wish you could have known what kind of person I am. Haya umeshinda let's cut it short. Siku njema na ubarikiwe
Even me I would like u to be a good and a wise person , but first of all by usage of the word pathetic it shows you as a different animal , contrary to what you would like people to know U.
And it is used to describe a bad situation or a bad thing , but not a bad opinion.
 
That's all you could say ahuh? You got me wrong buddy
 
Hopefully so but not on the basis of childishly, and that responsibility is there to any parent, but the limitation are also there , to be considered , Mimi wakwangu alitaka heaven of peace, lakini nikamwambia siwezi hiyo ni primary , secondary alitaka feza, lakini kwa idadi ya watoto nilimwambia siwezi, na sasa hivi yupo ameridhika na shule zetu za Kati na Nina mshukuru Mungu anafanya vizuri . Na tuendele kumuombea kwa hilo na mengineyo.
That's an individual responsibility na ulifanya vyema kuumpa muongozo mapema mwanao ili asije akabweteka akijua kuwa nitafanyiwa hivi na vile bila kutambua nafasi yake kwenye jamii.
 
Multi secretarial effects of CVD9 Pandemic ni dhahiri kabisa! tuache mijadala hatarishi, inaweza maliza watu wetu, kizembe mfano kusanyiko la wabunge DODOMA! siyo sahihi, kwa muktadha wa dharula ya sasa Duniani,

Wenzetu watu zaidi ya 3, ni marufuku, kila hatua unapimwa, si mbaya kuiga haya muhimu, wana nchi wao wako bega kwa bega na serikali zao! hapo kwetu TZ kila mtu kwa nafsi yake pale alipo atambue kuwa tatizo tunalo yampasa kuchukua tahadhari kubwa ili kuiponya nafsi yake na ya Jamii yetu.

Kwa hali ilivo, hakuna sababu ya kuhatarisha Bunge kwa kuchambua taarifa ya utafiti ya Waziri wa Fedha na Uchumi ktk kusanyiko, Athari za ugonjwa ziko wazi, kiuchumi, kisiasa, kila mtu ana up to date infor. tusipoteze muda, hii ni fursa ya kurahisishia tatizo cause, BBC,CNN, SABC nk, Walisha/wana tuelimishasana, tukae tujadili tena upya? anza kutenda pale ulipo,

Ili ku-minimize possibilities of infections spread Mijadala kama hii Bungeni ifanyike kwa mtindo wa ''TELECONFERENCE'' , TELEMARKETING, TELEMETRY & TELEMEDICINE kwa Upande wa sector ya Afya. Tanzania tunavyo vifaa,havitumiki hapa Ushirika wa Sector binafsi km NGO's, Private Hospitals, Health insurances nk ziko active,zitatufaa sasa, na baadaye, sababu vyombo hivi viko vizuri nchini ktk nyanja hii ya Mawasiliano. tuvitumie.

Vyombo vya habari vyote nchini, na nje km TV, RADIO, Magazeti ni muhimu, kujikita ktk kutoa Elimu ya Afya kwa Umma kuliko wakati mwingine wowote ule, tuliowahi kuvihitaji. Silaha hii tukitumia vizuri tutavuka salama, Tanzania tuko vizuri mpaka vijijini huko. habari zafika.

Siungi mkono suala la kuongeza kununua chakula cha kutosha kwa watanzania, pia -subsidization kwa wafanyakazi wa Utalii, na kusahau sector nyingine muhimu, ni nzuri but kwa sasa, haitufai, zaidi tutafilisika, tutachekwa, tutakosa fedha ya kununua Dawa,

Africa/Tanzani in Particular, tujikite zaidi katika kukinga, na ku-control further spreading of infections, through our understanding, and nzuri zaidi Medias zote zisaidie, ndiyo njia muafaka na rahisi inayo tufaa. kulingana na hali zetu, tujitambue tu kwamba yatupasa ku behave ki-hivi.

Nashauri hivi km Akiba ya chakula inatutosha watanzania wote zaidi ya watu Million 55 kwa siku 3, ni vyema sana tuiache kama ilivo, isiongezewe, kwa sababu hatutakufa au kuugua wote mara moja, haijawahi kutokea taifa wakafa wote! na haitatokea. akiba hii itafaa kusaidia wale tu waliopatwa na janga hili.

Wakati tuna jihadhari na hili tusibweteke na kudhani ndiyo hili tuuu janga moja!! Majanga yanaweza yakafuatana mfululizo, mfano Mafuriko , Tetemeko, Ebola tena, Cholerae tena nk, na hela sehemu kubwa tulinunulia chakula!!!

Wakati haya yanaendelea , wataalamu wetu wa Afya, kisasa, na kienyeji wahamasishwe kubuni njia nzuri za dharula zinazoendana na mazingira yetu ya ki-Africa naamini wanayo mengi ya kutunusuru, ila wanapuuzwa, hawapewi nafasi na kipaumbele, kwa kutokujua au kwa kujua.

Ndugu wananchi muelewe kuwa hakuna jinsi, tukiumwa wote pa kukimbilia na kufia ni kwa hawa wataalamu wetu, hutafia nyumbani, hata familia yako watakukimbiza mahali salama, Hospital au kwa Mganga wa kienyeji ambaye yamkini hana Elimu ya ugonjwa huu,

Serikali haiwezi, chukua tahadhari na kusahau kundi hili muhimu. hata uwe na cheo, Mahela vipi, Kwa sasa huko India, South Africa, Ulaya hutapokelewa. kwanza hupati Visa, wenzenu, Israel,Nigeria health facilities zao wako vizuri, mchekea tu

Hizi huduma za Hospitali zenu za serikali mlizo zidharau kwa miaka dahari, Viongozi wa ki-Africa wote mjifunze kupitia ugonjwa huu! hakuna cha mgonjwa wa BOT, Rais na familia yake Sijui Afisa wa serikali, Spika ndugai, kwenda kutibiwa Abroad, km mlivozoea!!! wote sasa mmekuwa MANZI GA NYANZA.
 
Huu ugonjwa unahitaji comprehensive approach. Moja ya hizo ni hizi zinazokuwa advanced na mh. Zitto hapa.

Tuacheni mzaha. Serikali sikilizeni miito hii. Hawa ni wana wa nchi hii wakitoa mawazo yao bora kabisa for the best of our motherland.
Huwa nasikia tu jamii forum,kumbe Mambo yake ni siasa,?Mimi sio mwana siasa,ngoja niwaachie wanasiasa,najitoa,
 
Pole. Soma bandiko la Zitto.

Fuatilia nini serikali hata za nchi za jirani utadhani walisoma au kukopi kwa Zitto.

Mkuu Zitto ni mchumi mada yake ile ni ya mchumi mbobezi kutokuielewa kwako isiwe nongwa.
 
Ushauri wangu kuhusu Mlipuko wa Korona- Zitto

#COVID19TZA Serikali imethibitisha uwepo wa virusi vya Korona Tanzania. Utulivu ni muhimu kwani kukiwa na maandalizi ya kutosha tunaweza kukabili madhara ya mlipuko huu. Nashauri mambo 3 muhimu sana, kwa maoni yangu.

- Tunaona Nchi nyengine kukiwa na ‘panic’ ya chakula. Watu wetu ni fukara sana, bei za chakula zitapanda na wengi hawatamudu.

Pia Serikali haina Akiba ya kutosha ya chakula kwenye ghala la Taifa. Kuna nafaka ya kutosha Siku 3 tu kwa kila Mtanzania. Ni vema Serikali kufanya uamuzi wa haraka kununua chakula ili kukigawa maeneo itakapohitajika.

- Tanzania inategemea Sekta ya Utalii kwa kiasi kikubwa katika Mapato ya Fedha za kigeni na ajira kwa raia wake. Mlipuko huu unaathiri sana sekta hii ambayo inaingizia Taifa wastani wa Dola za Marekani 2.5 bilioni kwa Mwaka sawa na 25% ya Mapato yote ya Fedha za kigeni yanayoingia nchini.

Naishauri Serikali kukutana na Wafanyabiashara wote kwenye sekta ya Utalii na Vyama vya Wafanyakazi kwenye sekta hiyo kwa lengo la kupata tathmini ya Pamoja ya madhara ya mlipuko huu kwa sekta ya Utalii na huduma zake.

Serikali itazame namna ya kuwafidia ( stimulus package) wafanyabiashara Katika sekta hiyo ili kulinda ajira za Wananchi. Ikiwezekana fidia iwe ni kulinda ajira kwa kufidia gharama za wafanyakazi ( payroll costs).

- Waziri wa Fedha na Uchumi apeleke Bungeni Taarifa ya utafiti wa madhara ya mlipuko wa Korona kwa Uchumi wa Tanzania kwa ujumla na Bunge lijadili Kwa maslahi ya Taifa ili kutoa mapendekezo ya kibajeti kuhami Uchumi wa Nchi yetu na haswa kulinda biashara ndogo, Wafanyakazi kwenye sekta zilizo hatarini kama Utalii, huduma za vyakula, usafirishaji na uchuuzi.

Zitto Kabwe, MP
Kiongozi wa Chama
ACT Wazalendo
17/3/2020
[/QUOT
 
Tatizo mikutano hairuhusiwi mkuu...labda wafanye kwa njia ya Video
 
PROPAGANDA VS UHALISIA
"Nchi yetu ina akiba ya US$5.4bn zinaweza kununua bidhaa kwa miezi 6, hatujawahi kuwa na kiasi hicho cha fedha tangu tupate Uhuru" Magufuli

GHAFLA👇

"Ukizuia watalii kuingia nchini kwa mwezi mmoja italeta shida kiuchumi. Tunaomba Mungu ugonjwa (COVID-19) uondoke" Polepole
 
PROPAGANDA VS UHALISIA
"Nchi yetu ina akiba ya US$5.4bn zinaweza kununua bidhaa kwa miezi 6, hatujawahi kuwa na kiasi hicho cha fedha tangu tupate Uhuru" Magufuli

GHAFLA👇

"Ukizuia watalii kuingia nchini kwa mwezi mmoja italeta shida kiuchumi. Tunaomba Mungu ugonjwa (COVID-19) uondoke" polepole
Kuleta shida kiuchumi maana yake ni kuwa akiba yote itaisha kwa mwezi mmoja?! Mpaka sasa Corona ishaleta shida kiuchumi karibu dunia nzima.
 
Back
Top Bottom