Lumumba huwa inasajiri Mazuzu?Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina
Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepaniki?....kutokana hovyo? Ushenzi tu bora ungebaki shule tu corona ikutafune nyamba***f wewe rudi darasani.
Kwani nani alikwambia wafanyakazi hawatalipwa mishahara yao kamili au ilitangazwa wapi? Au ni sheria ipi inayosema kukitokea maafa yatakayopelekea kazi kufungwa kwa muda wafanyakazi hawalipwi mishahara yao?Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina
Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sawa kweli?Kutokana na ugonjwa wa corona uliosababisha taasisi nyingi kuwa locked down ikuwemo shule
Sisi Wananchi tunaiomba serkali iwalipe nusu mshahara wafanyakazi ambao wanapumzika nyumbani ili kwamba hizo fedha zisaidie katika kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na wachina
Tuungane kupambana na huu ugonjwa ulioletwa na watu wabaya kutokana na tamaa ya kula mizogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kumfurahisha nani?
wewe una matatizo ya kisaikojia tukupuuuze
Aisee. Hiyo shule umesoma ni ya kufungwa tu.Serikali ya Tanzania ikisema ifanye lockdown na kutoa milioni 1 kwa kila Mtanzania kwaajili ya kujikimu kwa mwezi 1 gharama itakuwa ni milioni 55 ambayo kwa mapato ya serikali ni hela inayoingia ndani ya dakika 1 naomba serikali ifanyie kazi hili wazo katika kipindi hiki cha janga la Corona kama nchi nyingine zinavyochukua hatua.