Zitto usipoacha uzushi Karma itakucharaza kama inavyowacharaza CHADEMA

Ofkozi kumnasa Sefu kawapiga bao Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapingaji na wapotoshaji mpo wangapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Assad alitekwa, baada ya kelele nyingi ikabidi "MAMLAKA" ziagize aachiwe haraka. Acheni kutetea uovu wa hii serikali ninyi WAPUUZI.
 
Ukisoma blabla zote za mleta mada unagundua kuwa haelewi hata maana ya neno KUTEKWA.
Kutekwa ni kuchukuliwa bila ya hiari wala kufuata utaratibu.
Hivyo hata Assad kama alichukuliwa kupelekwa Polisi, Masaki safehouse, Kijitonyama au Magogoni ili mradi utaratibu wa kumchukuwa/kumkamata haukuwa umeenda kisheria ALITEKWA.
Kama Wakudadavuwa huelewi hilo ni tatizo la ugumu wa uelewa wako sio la JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda karma inavyowacharaza itamcharaza Zitto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili,walimtukana na kumtuhumu Lowassa lakini baadaye wakamsafisha,haya mambo mawili yamewafanya wasiaminike kiasi cha umma wa Watanzania kuwadharau na kutotilia maanani kauli na malalamiko yao.
Kumbe lowasa yuko chadema?
 
Tunatakiwa kuwa makini na taarifa zinazogaa mitandaoni, tusipende kusambaza taarifa bila kujiridhisha.

Kuna mda mtu utaitwa ulete ushahidi wa taarifa fulani ikala kwako, tusiendeshwe kwa mihemko tutumie akili zetu vyema.

Na kuhusu ishu ya jana ya Professor Assad, ilijaa uzushi na uongo, nakumbuka kipindi cha nyuma hapa JF watu walikuwa wanahoji sana vyanzo vya taarifa otherwise wanaipuuza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe hakutishika na hashtag "bringbackbensaanane"

Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa ya zito ilitosha kwani si imesaidia watekaji kusepa haraka hakukuwa na haja ya vyama vingine kutoa Taarifa zaidi ya kusaidia kupiga kelele mitandaoni kote mpaka mkamuachia ingawa hatujui kama hamjampaka ile sumu ya kuua slow slow kwa kuleta kansa isiyopona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…