Sasa kama hawajui hata kujaza fomu au njaa zao ndiyo shida pia nj rahisi kuuza jimbo. Fuatilieni mpate kujua zaidi.Wanaoenguliwa ni upinzani pekee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hawajui hata kujaza fomu au njaa zao ndiyo shida pia nj rahisi kuuza jimbo. Fuatilieni mpate kujua zaidi.Wanaoenguliwa ni upinzani pekee
HahahUlitaka umwagwe mtama kipolo kizima , kuku, ndege, wadudu wajifaraguwe ??
Ulitaka wasusie uchaguzi ccm wajitwalie wanavyotaka ?Upinzani Tanzania hakuna, vyama vyote ni mamluki. Sikutegemea vyama hivyo kuingia uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi kwa vituko vilivofanywa na dola uchaguzi wenyeviti wa mitaa.
Hahah
Je kuwekewa pingamizi ni kuvunjiwa amani oops haki za kikatiba?
Ulitaka wasusie uchaguzi ccm wajitwalie wanavyotaka ?
Waendelee kuingia kwenye uchaguzi mpaka wananchi watakaofika point of no return.
Haiwezekani kuwaachia wajitawale wakati kuna vyama mamluki vitawekwa kama geresha.
Wananchi wanaelewa hali wanayoiface wapinzani na wanawaunga mkono.
Kususia uchaguzi wananchi hawatatuelewa hata kidogo.
Yaani, inashangaza sana!!Haaa haaa daah, siasa mmefanya peke yenu miaka mitano. huu woga unatokea wapi
Aisee, kumbe haya mambo bado yapo!!Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi ni madrasa
Wewe kweli ni punguani, takataka tena mpumbavu wa mwisho. ina maana kwenye majimbo yote hayo wagombea wa upinzani tu ndio hawajui kujaza fomu. hata huku bara ina maana upinzani tu ndio hawajui? pumbavu sanaAcha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Juu ya yote hawa watu ni WASHENZI wanajaribu kujustify kitu ambacho kwa akili za kawaida huwezi. Watatuingiza kwenye kumwaga damu wasipojirudi. Halafu wanasema ni wanademokrasia.wewe kweli ni punguani, takataka tena mpumbavu wa mwisho. ina maana kwenye majimbo yote hayo wagombea wa upinzani tu ndio hawajui kujaza fomu. hata huku bara ina maana upinzani tu ndio hawajui? pumbavu sana
Unaamini kuwa ni upinzani tu ndio wamekosea kujaza fomu? Tanzania nzima hakuna mgombea hata mmoja wa chama tawala amekosea?Mimi hapa ndipo ninapo kasirika, tueleze vigezo vilivyotumika kuwaengua. Acha kutafuta huruma ki bwege mwami...
Ninachoamini mimi hakina mashiko kwa sasa, Jambo la msingi ni Mwami kutoa sababu za kwanini wagombea wao wameondolewa kugombea na Tume ya Uchaguzi Zanzibar.Unaamini kuwa ni upinzani tu ndio wamekosea kujaza fomu? Tanzania nzima hakuna mgombea hata mmoja wa chama tawala amekosea?
Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi ni madrasa
You are a civil war agent. Please repent!Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Ni rahisi hivyo? Hatakula.Watasusa sisi twala!
Unaweza kutoa hoja bila matusi mkuuwewe kweli ni punguani, takataka tena mpumbavu wa mwisho. ina maana kwenye majimbo yote hayo wagombea wa upinzani tu ndio hawajui kujaza fomu. hata huku bara ina maana upinzani tu ndio hawajui? pumbavu sana
Bahati mbaya ni kwamba hii taarifa umeitunga na mna kiwanda cha siasa za maji takaUsalama wa Tanganyika chini ya TISS wamepelekwa Zanzibar kusimamia uchaguzi kama ni wajumbe wa NEC na kuwaondosha Wazanzibari , huku wakiwalazimisha wagombea wa vyama vyengine kuwawekea pingamizi wagombea wa ACT , Jee huu si uharamia ??? na kuvunja katiba ??
Mimi si msanii, sorryBahati mbaya ni kwamba hii taarifa umeitunga na mna kiwanda cha siasa za maji taka
Unayo proof yoyote?
Mbona bwana wenu alikosea kujaza form mkafunika kombe?Unaweza kutoa hoja bila matusi mkuu