Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Wapemba komaeni acheni kubweteka na kula urojo tu,hao majambazi ya uchafuzi Ni lazima muyatoe!


Dawa yao iko jikoni , japo wametuletea Tiss wa kutosha , kubadilisha wakuu wa mikoa na kuleta wavamizi kutoka Bara , Mwaka huu tutakula nao sahani moja Bara na visiwani wapemba tumejiimarisha vizuri , NGOMA ITACHEZWA MOTE MWAKA HUU
 
Hivi hakuna uwezekano wa kwenda mahakamani kuzuia mchakato wa uchaguzi kusimamishwa hadi ufumbuzi wa uhuni huu wa CCM na NEC utakapopatikana?
 
Dawa yao iko jikoni , japo wametuletea Tiss wa kutosha , kubadilisha wakuu wa mikoa na kuleta wavamizi kutoka Bara , Mwaka huu tutakula nao sahani moja Bara na visiwani wapemba tumejiimarisha vizuri , NGOMA ITACHEZWA MOTE MWAKA HUU
Safi sana!! Waonesheni kweli hao wapuuzi kuwa uonevu sasa basi!!! Tulizaliwa siku moja na tutakufa siku moja.
 
Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi ni madrasa
Wewe unajua kua Katika sehemu yenye wasomi wengi na watu wenye akili na msimamo ni Pemba?
Pemba ndio inawafundisha Watanzania Siasa, haijawahi kutokea toke Uchaguzi wa 1995 likatokea hata jimbo moja likachukuliwa na CCM. Wao ndio walimu wenu wa siasa mukataka musitake huo ndio ukweli
 
G Sam, Atuwekee basi hapa hizo sababu za kipuuzi tuzione.

Tatizo siasa za upinzani Tanzania hawakukaa chini kuweka mikakati wanaingiaje kwenye uchaguzi wanaokoteza okoteza watu kisha hawana mkakati zaidi ya kitegemea nguvu za wagombea....

Utopolo mtupu


Ulitaka umwagwe mtama kipolo kizima , kuku, ndege, wadudu wajifaraguwe ??
 
Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi ni madrasa
sio kweli,wagombea wa ACT wote walikua CUF kutakua na kasoro nyengine tu sio elimu ,alafu jamani tuwe makini tuchague kauli za kutumia ukisema wengi wana elimu za madrasa unakua unaingiza udini ndani yake madrasa ni sehemu ambayo watoto au jamii ya kiislam inaitumia kwa ajili ya kuwafahamisha elimu ya kumjua Mungu na ili waweze kuishi kwa wema na uadilifu mkubwa ndani ya jamii,tusidharau mifumo ya dini za watu wengine na sisi tusije tukadharauliwa dini yetu!
amani na upendo bila ya kujali dini ,rangi ,kabila wala asili ndio silaha yetu watanzania
 
Kuna mtu aliwaahidi Watanzania na ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi HURU na HAKI. .. vibuyu vishaanza kulia mapemaaa...
 
Hawa wakurugenzi hawana akili kabisa yaani unakubali kuhatarisha usalama wa familia yako kwa maslai ya mwanaume mwenzako
 
Yule bwana hawezi kuwa na amani ni Hadi ahakikishe tumesambaratika kabisa furaha yake ni kuona damu zetu
 
Back
Top Bottom