Kwa maana hiyo nje ya ccm hakuna mgombea anae jua kuzijaza hizo fomu?Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.