MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,537
- 8,824
Yale ya 2019 Serikali za mitaa ndio yanayoenedelea hivi sasa si kwa CUF si kwa NCCR Mageuzi si kwa CDM si kwa ACT ila kwa ACT na CDM ndio funga kazi, pia hata wagombea wa NCCR mfano kule Kigoma wametekwa pia.
Kabla haijawa too late itisheni press conference muitangazie Dunia na watu wajue uhuni wa CCM na Serikali yake, hakuna Uchaguzi na huko mbele tutafanyiwa sarakasi sana.
Please itisheni kikao cha dharura kujadilia haya belive or not hizi sarakasi zitaendelea hadi siku ya kupiga kura na CCM wanaqeza fanya uhuni wakashinda kata zote Tanzania na Majimbo yote Tanzania na Visiwani.
Mbele ya safari tutalia kilio cha mbwa koko.
Chonde chonde jamani.