Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Kitaeleweka tu ni suala la muda. UKOMBOZI KATIKA NCHI HII UTAANZIA VISIWANI
 
Nachokiona kuna ZEC tume sio huru nadhani upinzani chukueni hatua madhubuti kuandamana , kama mlimpokea maalimu kwa mafuriko vipu ao policcm wawatishe.
 
Act jina ndio changa ila watu ni walewale wakongwe wasiku zote waliovaa ngozi ya mbwa mwitu.
 
Wanachokitafuta watakipata, hii sio siasa ni ukiritimba.
 
G Sam, Atuwekee basi hapa hizo sababu za kipuuzi tuzione.

Tatizo siasa za upinzani Tanzania hawakukaa chini kuweka mikakati wanaingiaje kwenye uchaguzi wanaokoteza okoteza watu kisha hawana mkakati zaidi ya kitegemea nguvu za wagombea....

Utopolo mtupu
 
Huu Uchaguzi hauwezi kuwa HURU na wa HAKI. Wapinzani wameshadhulumiwa sana na wataendelea kudhulumiwa sana kwenye kampeni zao na hata kwenye matokeo ya uchaguzi ambao utajaa wizi ambao hatujawahi kuuona katika chaguzi za nyuma.

Chadema na ACT wakipata Wabunge 50 kwa pamoja nitashangaa sana, lakini kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki wana uwezo wa kupata hata Wabunge 200+.
 
Upinzani Tanzania hakuna, vyama vyote ni mamluki. Sikutegemea vyama hivyo kuingia uchaguzi bila tume huru ya uchaguzi kwa vituko vilivofanywa na dola uchaguzi wenyeviti wa mitaa.
Ndugu hayamambo ni mzito kuliko unavyo Dhani ukisusa akina lipumba wanashiriki
 
Hiyo inaitwa mwenyekisu ndiyo mlanyama... Wataishia Kira za maruhani kwaushawishi wa definitely mandevuu
 
Hii siyo vita ya ACT tu. Ni vita ya kila Mtanzania mwenye kupenda haki. Wakiachiwa baadhi ya watu, basi tumekwisha.
ACT Wazalendo pambaneni kiume. Na huyo mgombea wenu wa URAIS JMT na Zanzibar sasa waoneshe uwezo na uchungu wao kwa chama badala ya kujiunga nanyi kutaka madaraka tu. Tunategemea Membe na Maalim Seif wakiwashe sasa. La sivyo hawana maana na ACT WAZALENDO mmelamba galasa kuwakumbatia hawa jamaa. Wajifunze kwa LISSU, mpinzani wa kweli mtoa uhai wake kwa chama na nchi ya JMT.
 
Sasa itakuwaje wanataka kusema ACT hawakusikamisha wagombea ambao ni binaadamu ama 😂😂😂😂😂. Naendelea kutazama yanayotokelezea 👁👁
 
Siyo kazi rahis kuondoa chama madarakani...hata wangekua ACT WAZALENDO ndiyo wako madarakani pia wangetumia mbinu mbalimbali ilimradi wabak madarakani...
Kiachen chama changu kifanye kila linalowezekana kutafuta ushindi...
 
Zito kasahau hao ni wapemba,elimu akhera kama anataka kuiona pepo atapata,ila sio wabunge
 
Back
Top Bottom