Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Uchaguzi 2020 Zitto: Wagombea wote 18 wa ACT-Wazalendo kisiwani Pemba wameenguliwa

Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.

Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Inaonesha una akili finyu sana. Umezoea kulishwa propaganda mpaka unaandika pumba kama hizi sasa hio miaka yote walikuwa wanajaza vipi hizo form.
 
Magufuli ana mpango wa kubadili katiba ili awe dikteta kamili. Nendeni mkamwambie kabla hajabadili katiba atakuwa ameshabadilishwa

(Magufuli) Atabadilishwa na nani? Mamluki kutoka “outer space au dunia gani? Mabadiliko yatatokea 28/10/2020 wakati wananchi watatoa uamuzi (through the ballot box) kupitia sanduku la kura. Period.
 
Upinzani unasifika kwa kuwa na Wasomi wa sheria wengi so ni muda wa kuwatumia
 
hata n
Unawazungumzia watz wapi?
hata ndan ya ccm kwenyewe usidhani wote wanapenda dhulma na ukandamizaji. ccm wachache endeleen na uovu lakin tambuen wasiopenda uovu ni wengi kuliko wapenda maovu. na usidhan haya mnayoyatengeneza yakitimia yatakuwa ya sisi wapinzani tu...la hasha..jicheki sana mzee.
 
Mambo ni mazito kidogo.

Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.

View attachment 1549864

Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.

Hii ni hatari tupu.

View attachment 1549869
Haya siyo mambo mazito kigogo ni balaa kubwa na hakuna haja ya kuendelea na uchaguzi kabisa, tusitishe hadi ushenzi huu uondolewe!
 
Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.

Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Kumbuka pia John Magufuli pamoja na PhD yake kakosea kuweka sawa fomu yake na kasaidiwa tuu na hii Tume ya uchaguzi ya ccm
 
Duuh nimekumbuka urujo wa pale chake, aisee ni mtamu Sana.
 
Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi Ni madrasa
Hii lugha ulioitumia ni dhihaka na matusi kwa Watu wa Pemba sidhani kama ulifanya utafiti kujua elimu za hao wagombea hata uka conclude kama walioenguliwa pamoja na wapemba kwa ujumla wao kuwa hawana elimu zaidi ya madrasa ,tujadili mada na kuchangia bila ya kutawaliwa na ubaguzi wala imani potofu
 
Hahaha ccm hawajui kuchaguana wamezoea kuteuliwa.

Sijui mliamini nini kwamba kutakuwa na uchaguzi Tanzania 2020.

Hata mkikubaliana mjitoe, kuna kina Lipumba watasema uchaguzi ni wa haki na huru ingawa haujafanyika.
 
Mambo ni mazito kidogo.

Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.

View attachment 1549864

Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.

Hii ni hatari tupu.

View attachment 1549869

Zitto kamwe usikubali kufanya uchaguzi kama huo ,lengo lishasemwa kwamba CCM wanatafuta 2/3 ya wabunge zanzibar ili wabadili katiba na kumfanya jiwe atawale milele....Kama wameunguliwa ina maana hakuna uchaguzi kufanyika mpaka wagombea wenu wote wateuliwe.
 
Ccm wanajua Pemba hawatoki kule ni ngome ya ACT wamefanya hivyo makusudi, huu ni ujinga na upumbavu
 
Mwaka Jana niliandika humu zaidi ya thread nne kupinga upinzani kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa ,sasa yaleyale yanajirudia Jiwe is a human being by physical feature but heart wise is a devil .
 
Back
Top Bottom