Kwa maana hiyo nje ya ccm hakuna mgombea anae jua kuzijaza hizo fomu?Acha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Hakuna kususa kinachofuata ni umwagaji damuWatasusa sisi twala!
Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi Ni madrasa
Let it be TumechokaNi comment yenye mwelekeo wa treason...uhaini.....watch out...
Kama hajui kujaza fomu tufanyeje sasa!!?Mambo ni mazito kidogo.
Zitto kasema kuwa Pemba hakuna mgombea wa ACT aliyeachwa . Wote 18 wameliwa vichwa.
View attachment 1549864
Aidha Zitto pia amesema jumla ya wagombea ubunge 44 wa ACT-Wazalendo Tanzania nzima wameenguliwa.
Hii ni hatari tupu.
View attachment 1549869
Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi Ni madrasa
hivi nikweli nchi nzima wagombea wanaokosea ni waupinzan tu waccm wao ni malaika hawakosei hata wacheni mahaba jabanAcha kupanic Zitto ikiwa unaona wameenguliwa bila kufuata sheria za uchaguzi kata rufaa au nenda mahakamani.
Tatizo wagombea wenu wanauza mechi na wengine ni mbumbumbu hawategui mitego ya kisheria katika ujazaji fomu sasa wakikosea kujaza unataka wapokelewe na kupitishwa tu unavyotaka? Uchaguzi huanzia kujaza fomu.
Watakimbilia tena Shimoni kama wakati wa Rais Mkapa wadanganye!!Wapemba komaeni acheni kubweteka na kula urojo tu,hao majambazi ya uchafuzi Ni lazima muyatoe!
Kwa maana hiyo wagombea wa ccm tu ndio waliosoma hiyo unayoita elimu?Pemba wagombea wengi wa upinzani hawajasoma elimu wengi Ni madrasa
Watz bado wanamhitaji sana Rais Magufuli na CCM kwa ujumla na wala si wapinzani ambao hupinga kila kitu!Magufuli ana mpango wa kubadili katiba ili awe dikteta kamili. Nendeni mkamwambie kabla hajabadili katiba atakuwa ameshabadilishwa
Sasa kama hamjui kujaza fomu tufanyeje sasa?Haaa haaa daah,siasa mmefanya peke yenu miaka mitano. huu woga unatokea wapi
Kisiwani Pemba, majimbo 18/18, Wanaenguliwa wagombea wa @ACTwazalendo systematically. Tutafuata hatua zote za kisheria kuzuiwa kinachofanywa. Halafu tutajua la kufanya. Mpaka sasa Tanzania nzima wameshaengua wagombea ubunge 44 wa ACT Wazalendo kwa sababu za kipuuzi sana
From zitto kabwe
Naona htari kubwa mbele.. Wapemba nawajuaKisiwani Pemba, majimbo 18/18, Wanaenguliwa wagombea wa @ACTwazalendo systematically. Tutafuata hatua zote za kisheria kuzuiwa kinachofanywa. Halafu tutajua la kufanya. Mpaka sasa Tanzania nzima wameshaengua wagombea ubunge 44 wa ACT Wazalendo kwa sababu za kipuuzi sana
From zitto kabwe
ACT wanamhitaji Maalim Seif kuliko Maalim anavyoihitaji ACT.ACT Wazalendo pambaneni kiume. Na huyo mgombea wenu wa URAIS JMT na Zanzibar sasa waoneshe uwezo na uchungu wao kwa chama badala ya kujiunga nanyi kutaka madaraka tu. Tunategemea Membe na Maalim Seif wakiwashe sasa. La sivyo hawana maana na ACT WAZALENDO mmelamba galasa kuwakumbatia hawa jamaa. Wajifunze kwa LISSU, mpinzani wa kweli mtoa uhai wake kwa chama na nchi ya JMT.