Kutumia ubabe tuu hamna namna, wakitaka waje mezani. Haiwezekani wananchi wakachote maji nchi jirani tugawane ziwaDah! Kwahiyo suluhisho ni nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutumia ubabe tuu hamna namna, wakitaka waje mezani. Haiwezekani wananchi wakachote maji nchi jirani tugawane ziwaDah! Kwahiyo suluhisho ni nini mkuu?
Dah! Kwahiyo tukubali hatuna kitu kwenye ziwa nyasa 🥺Ramani iko hivo miaka mingi kabla hata ya Google earth. Kuna siku kwenye ofisi ya ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania ilionekana ramani yenye kuonesha ziwa lote liko Malawi. Ramani za kimataifa zinaliita ziwa Malawi badala ya Nyasa, ni kama uamue kuliita ziwa Nyanza utaliita mwenyewe wengine wataendelea kuliita Victoria.
Malawi wakileta ushahidi wao lazima tutumie akili kuupinga. Sio kukariri resolution ya UN iliyo generalized. UN hawakugawa hizi nchi, waliogawana Tz na Malawi ni Wajerumani waliokuwa German East Africa (ikiwemo Tanganyika) na Waingereza waliokuwa Malawi. Ukitazama Heligoland treaties mbili ndio mpaka ule umewekwa. Sheria za mipaka ya Afrika zinaheshimu mgawanyo wa wakoloni bila kuubadilisha. Sasa Malawi wana treaty ya kwanza inayoonesha ziwa lote ni lao. Treaty ya pili inayoonesha ziwa linagawanywa tulitakiwa tuwe nayo sisi. Hatuna
Angalizo: Nimetumia memories za zamani nilivyoelewa hili suala. Sina uhakika sana
Swala la mpaka unaita swala dogo?Ramani ya google earth inaonyesha hivyo tangu zamani. Na wamalawi hilo ziwa huliita malawi sisi tunaliita Nyasa.
Lakini hili swala bado lipo kwenye mazungumzo na marais wa nchi za SADC .
Ninachokiona huko mbeleni, Malawi ikija kujiimarisha kijeshi kuliko Tanzania inalichujua hilo ziwa lote.
Hapo ndipo idara za usalama wa taifa zinatakiwa kufanya kazi kuhakikisha hili halitokei.
Asante kwa uzalendo ulionao kwa nchi yako wa hali ya juu..hao wamalawi wanajifurahisha tu. Ni panya wadogo sana. Kuna kampuni za kibeberu zinataka kuchimba mafuta hapo,ndo zinasogeza mpaka.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka huo umepita katikati ya ziwa Nyasa.
Siku chache mbeleni nikaangalia tena nikaona mpaka upo pale pale lakini sehemu hiyo/mpaka huo ukiwa umebadilishwa rangi kuwa nyekundu.
Kuchorwa mpaka huo kwa rangi nyekundu ni kuashiria kuna mzozo ambao umoja wa mataifa haujaelewa ni nani hasa mwenye haki na eneo hilo kati ya Tanzania na Malawi.
Tangu 2015 sikuwahi kuchungulia tena eneo hilo, ila leo nimeangalia mpaka huo kupitia camera za satellite nikashtuka baada ya kuona mpaka huo umehamishwa alafu wakabadili na jina la ziwa hilo na kuliita ziwa Malawi 😠
Yaani kwa kifupi lile ziwa hatuna mamlaka nalo tena! Tumeporwa kilomita nyingi sana za mraba huku serikali yetu ikiwa haijui kinachoendelea juu ya ziwa hilo lenye utajiri wa gesi, mafuta na spish za samaki zaidi ya 1500.
Mpaka huo umehamishwa kutoka katikati ya ziwa hadi kwenye fukwe za nchi yetu huku wakibadili kabisa jina la ziwa letu na kuliita ziwa Malawi kama inavyoonekana kwenye picha.
View attachment 1804817
Linganisha na mpaka ambao tuliachiwa na wakoloni katika picha hii.
View attachment 1804818
Ikumbukwe kwamba miaka michache kipindi cha serikali ya Jakaya kikwete tulikuwa na mzozo Malawi kuhusiana na hili ziwa hadi kukatokea vitisho vya kuingia vitani kila nchi ikidai italinda mpaka wake. Malawi wakidai ziwa lote ni lao huku Tanzania tukidai mpaka wa wakoloni ambao ulipita ndani ya ziwa huku sisi tukiwa na eneo lenye upana zaidi ya Malawi.
Hii maana yake nini? Sisi ni wapole sana au hatupo tayari kulinda mipaka yetu?
Kwanini wazungu wameridhia kumega nchi yetu na kuikabidhi Malawi?
Naomba serikali yetu tukufu itoe maelezo kuhusu hili jambo maana sio dogo.
Tukiendelea kunyamaza kuna siku watasema mkoa wa Mbeya ni wao
Mkuu umekubali tumegwe? Kwenye hii dunia wenye akili wapo tayari hata kupora nchi nzima ila wewe umekubali sehemu ya muhimu kama ile ambayo raia wetu wameitumia miaka na miaka kuchukuliwa kimasiharaWandugu,
Toeni taharuki zenu, hiyo ramani iko hivyo hata kabla ya Tanganyika kupata uhuru wake.
Ni ramani ilichorwa na wakoloni. Haiongezi wala kuondoa kitu.
Ila historia inawapiga chenga wengi
Kama ipo hivyo siku zote mbona Tanzania tunafanya shughuli zetu kama kawaida kwenye hilo ziwa?Acha upotoshaji hiyo ramani ipo hivyo siku zote huo mgogoro upo lakini haujapatiwa ufumbuzi bado.Malawi wanang’ang’ania mkataba wa Heligoland unaosema mpaka Upo ufukweni.Upande wa Malawi linaitwa ziwa Malawi kwetu ni ziwa Nyasa,Upande wa Msumbiji wanaliita ziwa Niasa.Malawi hawawezi kufanya shughuli yoyote ya uchimbaji mafuta na gas maana itaanzisha upya mgogoro na pengine vita.Hivyo Sio kweli kwamba wamechukua ziwa kinyemela.
Asante mkuu wewe unayo akili ya kuwaza mbaliT14 Armata mkuu nakukumbusha tu Wayahudi walikuja Palestina kimasihara kwa sasa impact yao inaonekana dunia nzima.
Miaka 50 ijayo Malawi itasema ziwa lote lao,nani atapinga? Viongozi wa nyakati hizo za 2070 wote watakuwa wamezaliwa wakiona mipaka ikiwa hivyo,wataanzaje kukataa?
Kiufupi Nyerere sio mjinga kugombea hilo ziwa na kufanikiwa angekuwa fala asingelupata.
Miaka michache iliyopita wakenya walikua wanadai mlima upo kwao kwa kufuata mpaka wa unaopinda endeo la Taveta na kijiografia inaonekana,lakini kwanini Nyerere aliwazid akili? Sababu hakuchukulia mambo kirahisi.
Kisiwa cha Pemba kiko Kenya nani anakataa? Ukinyoosha mstari utakiona wap? Kwanin Nyerere alikomaa kikawa TZ? Hana akili au ni mwizi?
Dah leo nimegundua kwanini Tanzania inaongoza kwa migogoro ya ardhi, kumbe watu wanachukulia powa afu badae maji yakiwa shingoni ndio wananza kutafutana mchawi nani.
Hivi hamna viongozi wa serikali wanaofuatilia huu uporaji wa kimyakimya? 😭😭Amkeni Kuna sehemu tumelala kabisa Kwenye ulinzi wa mipaka ya inchi yetu hii ji jukumu la serikali sio la kukalia kimya View attachment 1805478
Nakubaliana na wewe ila mipaka tuliyokuwa nayo ilikuwa ya kutaja maeneo tu lakini ikitokea tatizo machifu wote walikua kitu kimoja.Mipaka ilikuwepo ila siyo katika hali ya sasa.
Unataka kusema chief Mkwawa hakuwa na mpaka kwenye eneo lake la utawala ?
Hiyo ramani yako ya pili inaonyesha hujaisoma vizuri. Labda tatizo lako ni English hamna.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka huo umepita katikati ya ziwa Nyasa.
Siku chache mbeleni nikaangalia tena nikaona mpaka upo pale pale lakini sehemu hiyo/mpaka huo ukiwa umebadilishwa rangi kuwa nyekundu.
Kuchorwa mpaka huo kwa rangi nyekundu ni kuashiria kuna mzozo ambao umoja wa mataifa haujaelewa ni nani hasa mwenye haki na eneo hilo kati ya Tanzania na Malawi.
Tangu 2015 sikuwahi kuchungulia tena eneo hilo, ila leo nimeangalia mpaka huo kupitia camera za satellite nikashtuka baada ya kuona mpaka huo umehamishwa alafu wakabadili na jina la ziwa hilo na kuliita ziwa Malawi [emoji34]
Yaani kwa kifupi lile ziwa hatuna mamlaka nalo tena! Tumeporwa kilomita nyingi sana za mraba huku serikali yetu ikiwa haijui kinachoendelea juu ya ziwa hilo lenye utajiri wa gesi, mafuta na spish za samaki zaidi ya 1500.
Mpaka huo umehamishwa kutoka katikati ya ziwa hadi kwenye fukwe za nchi yetu huku wakibadili kabisa jina la ziwa letu na kuliita ziwa Malawi kama inavyoonekana kwenye picha.
View attachment 1804817
Linganisha na mpaka ambao tuliachiwa na wakoloni katika picha hii.
View attachment 1804818
Ikumbukwe kwamba miaka michache kipindi cha serikali ya Jakaya kikwete tulikuwa na mzozo Malawi kuhusiana na hili ziwa hadi kukatokea vitisho vya kuingia vitani kila nchi ikidai italinda mpaka wake. Malawi wakidai ziwa lote ni lao huku Tanzania tukidai mpaka wa wakoloni ambao ulipita ndani ya ziwa huku sisi tukiwa na eneo lenye upana zaidi ya Malawi.
Hii maana yake nini? Sisi ni wapole sana au hatupo tayari kulinda mipaka yetu?
Kwanini wazungu wameridhia kumega nchi yetu na kuikabidhi Malawi?
Naomba serikali yetu tukufu itoe maelezo kuhusu hili jambo maana sio dogo.
Tukiendelea kunyamaza kuna siku watasema mkoa wa Mbeya ni wao
Malawi kaamua kucheza kama pele apo inabidi tusimwachie kizembeNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Iko hivi, kipindi kulivyoibuka vita ya maneno kati yetu na Malawi niliangalia mpaka wetu na Malawi kupitia picha za satellite nikaona mpaka huo umepita katikati ya ziwa Nyasa.
Siku chache mbeleni nikaangalia tena nikaona mpaka upo pale pale lakini sehemu hiyo/mpaka huo ukiwa umebadilishwa rangi kuwa nyekundu.
Kuchorwa mpaka huo kwa rangi nyekundu ni kuashiria kuna mzozo ambao umoja wa mataifa haujaelewa ni nani hasa mwenye haki na eneo hilo kati ya Tanzania na Malawi.
Tangu 2015 sikuwahi kuchungulia tena eneo hilo, ila leo nimeangalia mpaka huo kupitia camera za satellite nikashtuka baada ya kuona mpaka huo umehamishwa alafu wakabadili na jina la ziwa hilo na kuliita ziwa Malawi 😠
Yaani kwa kifupi lile ziwa hatuna mamlaka nalo tena! Tumeporwa kilomita nyingi sana za mraba huku serikali yetu ikiwa haijui kinachoendelea juu ya ziwa hilo lenye utajiri wa gesi, mafuta na spish za samaki zaidi ya 1500.
Mpaka huo umehamishwa kutoka katikati ya ziwa hadi kwenye fukwe za nchi yetu huku wakibadili kabisa jina la ziwa letu na kuliita ziwa Malawi kama inavyoonekana kwenye picha.
View attachment 1804817
Linganisha na mpaka ambao tuliachiwa na wakoloni katika picha hii.
View attachment 1804818
Ikumbukwe kwamba miaka michache kipindi cha serikali ya Jakaya kikwete tulikuwa na mzozo Malawi kuhusiana na hili ziwa hadi kukatokea vitisho vya kuingia vitani kila nchi ikidai italinda mpaka wake. Malawi wakidai ziwa lote ni lao huku Tanzania tukidai mpaka wa wakoloni ambao ulipita ndani ya ziwa huku sisi tukiwa na eneo lenye upana zaidi ya Malawi.
Hii maana yake nini? Sisi ni wapole sana au hatupo tayari kulinda mipaka yetu?
Kwanini wazungu wameridhia kumega nchi yetu na kuikabidhi Malawi?
Naomba serikali yetu tukufu itoe maelezo kuhusu hili jambo maana sio dogo.
Tukiendelea kunyamaza kuna siku watasema mkoa wa Mbeya ni wao
Mimi naona mihemko unayo wewe.Wewe Jamaa una mihemko ya aina fulani.
Kwani historia ya hapo tokea zamani huijui? Hizo ramani ndio leo umeanza kuziona?
Sasa unalia tunapoteza ziwa, wananchi wetu hawaendelei na shughuli zao humo ziwani; umesikia mitumbwi yao ikizamishwa?
Yaani unataka tujadili hapa jambo ambalo huna ufahamu nalo?.
Wewe unajiita 'kijana wa jana'; hivi kweli utakosa kujua historia ya hapo?
Unatafuta kupotezea watu muda bure!
Sio kweli mkuu.Ramani ya google earth inaonyesha hivyo tangu zamani. Na wamalawi hilo ziwa huliita malawi sisi tunaliita Nyasa.
Lakini hili swala bado lipo kwenye mazungumzo na marais wa nchi za SADC .
Ninachokiona huko mbeleni, Malawi ikija kujiimarisha kijeshi kuliko Tanzania inalichujua hilo ziwa lote.
Hapo ndipo idara za usalama wa taifa zinatakiwa kufanya kazi kuhakikisha hili halitokei.
Ni kampuni za Uingereza mkuu. Alafu haohao Uingereza ndio waliosababisha huu mgogoro maana Ujerumani wao walisema ikiwa mpaka wa nchi na nchi umepita kwenye maji, basi ni sharti mpaka huo uwe katikati ya maji pande zoteAsante kwa uzalendo ulionao kwa nchi yako wa hali ya juu..hao wamalawi wanajifurahisha tu. Ni panya wadogo sana. Kuna kampuni za kibeberu zinataka kuchimba mafuta hapo,ndo zinasogeza mpaka.
Ramani ya pili inaonesha madai ya nchi zote mbili huku wakati huo mpaka ukiwa haujahamishwa kama tunavyoona leoHiyo ramani yako ya pili inaonyesha hujaisoma vizuri. Labda tatizo lako ni English hamna.
Sent from my G80 using JamiiForums mobile app