Ziwa Victoria limewahi kukauka maji yote mara tatu

This



Now u see, it portrays how armature your thinking is on miniature issues. Vizazi hurithishana generation wise ndg.
Vizazi ushuzi? Kulikuwa hakuna mbantu huko miaka hiyo. Soma kijana.
 
Kama waliotaja hivyo ni watafiti, sisi ni nani tukatae na hatuna data zetu za utafiti kupinga utafiti wao...
 
Zaidi ya miaka 17,300 iliyopita ziwa hili ambalo ni chanzo kikuu cha mto Nile (white Nile ) ingawa chanzo halisi ni mto Kagera ,
Tunaomba reference tudadisi zaidi
 
Kwangu bado siamini. Haya mambo ya 14700 huko na hakuna ushahidi hata wa nukuu za watu waliokuwepo maeneo hayo, ni ngumu kuaminika.
 
Aiseee hapana,mimi ndugu zangu wangu kisiwan ukerewe sijawah sikia wakisema waliwah kwenda mwanza kwa mguu

Toka 1990 hili ziwa naliona sana sana huwa maji yanapungua tu sio kuisha yote
Ndiyo maana kwenye mtihani watu hufeli ingawa wanakuwa wamezipitia dondoo za maswali hayo na kuyasoma ipasavyo!

Embu rudia kusoma mwaka wa kalenda uliotumika kusimulia kisa hiki.
 
Kwangu bado siamini. Haya mambo ya 14700 huko na hakuna ushahidi hata wa nukuu za watu waliokuwepo maeneo hayo, ni ngumu kuaminika.
Homo Sapiens wa enzi hizo walikuwa hawawezi kuandika.
 
You were not here 20,000 years ago and you will not be here 2,000 years to come.
 
Hivi tunaongea nn miaka 17,300?? Alaf unasema kama fact kabisa source wikipedia? Najuta kuto download kale ka gif ka Cannabis kanavuta mneli ndo mahala pake apa. Tukimaliza wataalam mtupe ile ya sangara na sato zilivopandikizwa.
 
Una elimu gani? Wewe unafikiri mabadiliko ya mazingira yanasababushwa na binadamu tu?!
Umewahi kusikia Younger Dryas au
Allerød oscillation??
 
Nyie wana bukoba mlifika lini ziwa Victoria??
 
For cheap mind like yours.

Babu yake yupi anayemjuwa yeye alikuwepo miaka elfu kumi na tano nyuma?
Kumbe ukiacha kuita watu kondoo na mbuzi huwa una akili vizuri tu!
 
Kwangu bado siamini. Haya mambo ya 14700 huko na hakuna ushahidi hata wa nukuu za watu waliokuwepo maeneo hayo, ni ngumu kuaminika.
Hii sio imani tu kama hadithi tu za kwenye kitabu chako cha dini, ni utafiti wa kisayansi.
 
Kumbe ukiacha kuita watu kondoo na mbuzi huwa una akili vizuri tu!
Akili yangu ikiwa nzuri isiwe nzuri, inakuhusu?

Mimi simwiti mtu kondoo, wenyewe wanaitana kondoo. Wewe kondoo au siyo kondoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…