Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Wanaukumbi.

🚨QATAR ANNOUNCES ISRAEL-HAMAS CEASEFIRE TO START SUNDAY

A Qatari-brokered ceasefire will go into effect Sunday at 8:30 a.m. IST (06:30 GMT), with Israel and Hamas agreeing to a hostage-prisoner exchange.

33 Israeli hostages (women, children, and elderly) will be freed over 6 weeks in exchange for 1,900 Palestinian prisoners.

Israel will withdraw troops to a buffer zone, allowing displaced Gazans to return home.

Humanitarian aid set to increase as Rafah border crossing preps for relief efforts.

Source: AP

=============
Makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosimamiwa na Qatar yataanza kutumika Jumapili saa 8:30 a.m. IST (06:30 GMT), Israel na Hamas zikikubaliana kubadilishana wafungwa na mateka.

Mateka 33 wa Israeli (wanawake, watoto na wazee) wataachiliwa kwa muda wa wiki 6 badala ya wafungwa 1,900 wa Kipalestina.

Israel itaondoa wanajeshi wake katika eneo la buffer, kuruhusu raia wa Gaza waliokimbia makazi yao kurejea nyumbani.

Misaada ya kibinadamu imepangwa kuongezeka kama maandalizi ya kuvuka
mpaka wa Rafah kwa ajili ya juhudi za misaada.

Chanzo: AP

View: https://x.com/marionawfal/status/1880618647497916842?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

View: https://x.com/Maya144796/status/1880729846059524397
 
Israel sio mjinga kuachia wafungwa wote hao lazima baadhi yao atakuwa amewawekea chip au Gprs hasa wale makamanda na wapiganaji hapo Hamas wakijichanganya kwenda kujificha nao mafichoni watalia sana.
Kuhusu kuwekewa chip au GPS sio rahisi maana teknolojia ipo ya kubaini mtu aliyewekewa vifaa hivyo. Sema ninachofikiri mimi Israel lengo lake ni kuwapata mateka wake , hivyo akishafanikiwa kuwapata tutasikia amerudi kuitwanga tena Gaza.
Pia kutokana na jinsi waarabu walivyo wasaliti na rahisi kurubuniwa inawezekana tayari deal limefanyika baina ya Israel na baadhi ya mateka wa kipalestina kuwahakikishia maisha mazuri na Mshiko wa maana kama watakubali kuwa mawakala wao. Hao hao mateka wa kipalestina ndio watakaokuwa wanauza ramani na mipango ya wenzao. Asilimia kubwa ya waarabu husalitiana wao wenyewe
 
Waisrael 10 wapalestina 500 wote mateka mana awajafanya kosa lolote wanazuiliwa tu na Israel, Israel ndio ilianza kukamatta watoto wadogo na kuwafunga ili kuwatisha wazazi wao izi tabia ndio za kigaid ivo waisrael ni MAGAID %100
 
Arabu Koko la Manerumango! Nani kapoteza kwa akili yako?
Kapoteza Israel mana Netanyahu wakati anatangaza vita alitangaza na malengo ya iyo vita au maazimio ya vita. Moja kuwakomboa mateka waisrael wote pili kuiyangamiza Hamas na kesema aitakuwepo tena Hamas na kuwataka Wajeda wa Hamas njia pekee yakubaki hai nikujisalimisha au watauwawa wote!!!! Hamas wakachagua vita JE unajua mpaka sasa IDF elf kadhaa wamekufa apo GAZA na meteka wao kibao pia wamekufa viwete wa maisha wapo kibao je uchumi waisrael wengi wamekimbia vita baada ya kuona kumbe Iran inaweza kuwashambulia bila kizuizi yani mikama awana air defence system uchumi umesinyaa sana miji mingi shuhuri za uchumi nikama zimekufa maduka mengi yamefungwa ktk Israeli maduka yamefungwa onasasa JE unajua mwanzo hamas walitaka tu wafungwa wao uko Israel ili nao wawachie wafungwa waliowateka JE unajua katibu mkuu wa UN amekataa kuliita tukio la hamas kuwa ni tendo la Ugaid katibu akisisitiza Hamas walikuwa na sababu ya kufanya walilofanya!! JE NETANYAHU kafikia lengo lake la vita!!!!
 
S

Akili yako ipo tu kujua umebanwa aja ndogo au kubwa umeshindwa kufikiri zaid ya apo akuna usamani apo tatizo magaid wa israel inawashikilia wapalestina wengi sana so wapatanishi wanalijua ilo uwez kusema 1 kwa 1 waisrael wanaoshikiliwa na Hamas sio wengi sana ivyo inabidi itumiwe akili kike israel 1 tunataka wapalestina 50 net. Utaki tuendelee na vita!!! Kapiga esab israel uko nyuma alikuwa ataki lkn sasa kaingia king 1×50 1
Haha pole gaidi
 
Nentayahu kachefukwa sana kaanza tena sababu za kitoto eti kabla ya kuachia mateka anataka majina ya mateka wataoachiwa leo😂
 
Hamas wameishatuma majina Natenayahu sijui anataka majina gani tena anaumia sana maana moja ya merengo yake ya vita kuwarudisha mateka Israel kwa kuwakomboa sasa anapewa masharti na Hamas.
 
Hicho ndicho Hamas wanajivunia kwamba ni washindi dhidi ya Israel walioshindwa kuwakomboa mateka wao kwa zaidi ya miezi 15!
 
Hicho ndicho Hamas wanajivunia kwamba ni washindi dhidi ya Israel walioshindwa kuwakomboa mateka wao kwa zaidi ya miezi 15!
Siyo hicho Israel waliapa wanaifuta Hamas vipi wameifuta?

Hamas kaapeleka msiba mzito Israel wanajeshi zaidi ya 10.000 wameuliwa na Hamas wanajeshi zaidi ya 2000 ni vilema wa maisha.
 
Shirika la Afya Duniani (WHO) limekadiria kuwa kujenga upya mfumo wa afya uliovurugika wa Gaza kutahitaji angalau dola bilioni 10 katika kipindi cha miaka mitano hadi saba ijayo. Katika taarifa yake, WHO ilizitaka nchi wanachama, wafadhili wa kimataifa, na sekta ya kibinafsi kuunganisha nguvu ili kukabiliana na migogoro ya mara moja ya afya na ujenzi wa muda mrefu wa miundombinu ya afya ya Gaza.

WHO ilisisitiza haja ya ufadhili unaobadilika na endelevu ili kuleta majibu ya haraka na madhubuti kwa mzozo unaoendelea. Wakati wa mauaji ya kimbari, Israel imewaua zaidi ya wafanyakazi 1068 wa afya, kuwakamata 33, na kuwatesa hadi kufa watatu gerezani, kulingana na Ofisi ya Vyombo vya Habari vya Serikali ya Gaza.

Pia ilifichua kuwa mashambulizi ya Israel yalizifanya hospitali 34 kukosa huduma, pamoja na vituo vingine 80 vya afya. Takriban taasisi za afya 162 na ambulensi 136 zililengwa.
 
Hamas wameishatuma majina Natenayahu sijui anataka majina gani tena anaumia sana maana moja ya merengo yake ya vita kuwarudisha mateka Israel kwa kuwakomboa sasa anapewa masharti na Hamas.
Hilo linamuuma sana! Entebbe walitumia muda mfupi sana kuwakomboa mateka. Vita ya 1967 walitumia siku 6 tu kumaliza kazi. Lakini Hamas wamesumbua sana zaidi ya mwaka bila kuwakomboa mateka.

Ila ni afadhali wamekubali kusitisha vita ilmradi mateka wanatolewa hai kwenye mateso ya kwenye mahandaki.
 
Wanaukumbi.

🚨QATAR ANNOUNCES ISRAEL-HAMAS CEASEFIRE TO START SUNDAY

A Qatari-brokered ceasefire will go into effect Sunday at 8:30 a.m. IST (06:30 GMT), with Israel and Hamas agreeing to a hostage-prisoner exchange.

33 Israeli hostages (women, children, and elderly) will be freed over 6 weeks in exchange for 1,900 Palestinian prisoners.

Israel will withdraw troops to a buffer zone, allowing displaced Gazans to return home.

Humanitarian aid set to increase as Rafah border crossing preps for relief efforts.

Source: AP

=============
Makubaliano ya kusitisha mapigano yaliyosimamiwa na Qatar yataanza kutumika Jumapili saa 8:30 a.m. IST (06:30 GMT), Israel na Hamas zikikubaliana kubadilishana wafungwa na mateka.

Mateka 33 wa Israeli (wanawake, watoto na wazee) wataachiliwa kwa muda wa wiki 6 badala ya wafungwa 1,900 wa Kipalestina.

Israel itaondoa wanajeshi wake katika eneo la buffer, kuruhusu raia wa Gaza waliokimbia makazi yao kurejea nyumbani.

Misaada ya kibinadamu imepangwa kuongezeka kama maandalizi ya kuvuka
mpaka wa Rafah kwa ajili ya juhudi za misaada.

Chanzo: AP

View: https://x.com/marionawfal/status/1880618647497916842?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Tulijichanganya sana hiyo tarehe saba October aisee.Sidhani kama tutarudia ujinga huo hivi karibuni!
 
Israel wapuuzi sana eti wamepiga marufuku Pelestina wasishangilie. Lakini wapo Walpelistina wanashangilia tu.
 
Hilo linamuuma sana! Entebbe walitumia muda mfupi sana kuwakomboa mateka. Vita ya 1967 walitumia siku 6 tu kumaliza kazi. Lakini Hamas wamesumbua sana zaidi ya mwaka bila kuwakomboa mateka.

Ila ni afadhali wamekubali kusitisha vita ilmradi mateka wanatolewa hai kwenye mateso ya kwenye mahandaki.
Hizo story sijui Entebe, vita siku 6 za uonga tu zamani kulikuwa hamna madia zaidi za kwao walikuwa wanajisifia tu, ukweli ni huu hapo Gaza.

Dunia yote wameona kaeneo kama Gaza wana kila kitu nwaka na nusu hamna la maana zaidi ya kuuwa watoto na kubomoa nyumba.
 
Back
Top Bottom