Unaweweseka! Dalili za ukichaa. Pole sanaMimi na wewe nani kachizika? Yaani unaacha kuchangia uzi unania attack unadhani nashindwa kukujibu nikuambie tu ukweli mimi na mashoga mbali mbali dini yangu inanikataza kufir**
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweweseka! Dalili za ukichaa. Pole sanaMimi na wewe nani kachizika? Yaani unaacha kuchangia uzi unania attack unadhani nashindwa kukujibu nikuambie tu ukweli mimi na mashoga mbali mbali dini yangu inanikataza kufir**
Ukichaa unakufanya ujione wa maana, kumbe muokota makopo ajaye. Achana na mambo haya, ili akili itulieHahhahah umepata bakora unatafutq sifa JF kumshambulia Ritz😂
Pole sanaMimi kichaa kweli na naokotaka makopo sijakataa wewe mbona shoga watu hatusemi.
Ni sahihi kabisaIla kuna Kiongozi ndani ya serikali ya Netanyahu aliwahi kutamka hadharani ya kwamba ni ndoto kuingamiza Hamas!
Kwa sababu Hamas ni itikadi iliyojengwa kwenye mioyo ya Wapalestina walio wengi! Aliishia tu kupuuzwa na kupingwa. Ila mwisho wa siku ukweli umedhihirika.
⚡️⭕️ Mwandishi wa habari wa Kizayuni Zvi Yehezkeli:
- Ninapotazama video za wanamgambo wa #Hamas kati ya watu wenye furaha na sisi tukiwa na hasira, nagundua kuwa hatujafanya lolote kwa mwaka mmoja na miezi 5. Tuliharibu nyumba tu na kuwafiwa watoto wetu.
- Hatukuiondoa #Hamas na hatukufanikiwa chochote
Katika Mashariki ya Kati, usipotimiza jambo fulani, itabidi ulitimize baadaye na kwa gharama ya damu yetu
View: https://youtu.be/XCoZNU8hY7c?si=va6d4hV-95AAIP2u
Maneno yake ni 💯 afu leo huko Tela Aviv wanashangaa Hamas ndani ya Gaza anatimiza ahadi zake tena kwa nidhamu mpaa wanajiuliza hivi kweli Hamasi kweli hatukuwamaliza kumbe tulimaliza vitoto na wanawake tu pamoja na majumba