Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Zoezi la kubadilishana mateka na wafungwa litaanza Jumapili saa 8:30 a.m. (06:30 GMT), kati Israel na Hamas

Mimi na wewe nani kachizika? Yaani unaacha kuchangia uzi unania attack unadhani nashindwa kukujibu nikuambie tu ukweli mimi na mashoga mbali mbali dini yangu inanikataza kufir**
Unaweweseka! Dalili za ukichaa. Pole sana
 
Hahhahah umepata bakora unatafutq sifa JF kumshambulia Ritz😂
Ukichaa unakufanya ujione wa maana, kumbe muokota makopo ajaye. Achana na mambo haya, ili akili itulie
 
Mateka 38 (Wayahudi) wafungwa (Wapalestina) 19,000.
Bargaining of the century.
 
Ukichaa unakufanya ujione wa maana, kumbe muokota makopo ajaye. Achana na mambo haya, ili akili itulie
Mimi kichaa kweli na naokotaka makopo sijakataa wewe mbona shoga watu hatusemi.
 
Baada ya Israel kuwarudisha watu wake Hamas itafutwa kwenye uso wa Dunia.

HII TAARIFA Ritz ITUNZE.

GOD BLESS ISRAEL
 
IMG_20250119_195403_156.jpg
 
Ila kuna Kiongozi ndani ya serikali ya Netanyahu aliwahi kutamka hadharani ya kwamba ni ndoto kuingamiza Hamas!

Kwa sababu Hamas ni itikadi iliyojengwa kwenye mioyo ya Wapalestina walio wengi! Aliishia tu kupuuzwa na kupingwa. Ila mwisho wa siku ukweli umedhihirika.
Ni sahihi kabisa
 
⚡️⭕️ Mwandishi wa habari wa Kizayuni Zvi Yehezkeli:

- Ninapotazama video za wanamgambo wa #Hamas kati ya watu wenye furaha na sisi tukiwa na hasira, nagundua kuwa hatujafanya lolote kwa mwaka mmoja na miezi 5. Tuliharibu nyumba tu na kuwafiwa watoto wetu.

- Hatukuiondoa #Hamas na hatukufanikiwa chochote
Katika Mashariki ya Kati, usipotimiza jambo fulani, itabidi ulitimize baadaye na kwa gharama ya damu yetu

View: https://youtu.be/XCoZNU8hY7c?si=va6d4hV-95AAIP2u

Maneno yake ni 💯 afu leo huko Tela Aviv wanashangaa Hamas ndani ya Gaza anatimiza ahadi zake tena kwa nidhamu mpaa wanajiuliza hivi kweli Hamasi kweli hatukuwamaliza kumbe tulimaliza vitoto na wanawake tu pamoja na majumba
 
Back
Top Bottom