Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 General Election
38 majimbo can not change the winner if not ngome ya Raila, kama ni ngome ya raila, then can make a diffference if not then Ruto is a winner
Utashangaa sana

2015 Majimbo 8 ya Dodoma yalimtoa Lowassa kwenye uongozi na mshindi akawa Magufuli
 
Utashangaa sana

2015 Majimbo 8 ya Dodoma yalimtoa Lowassa kwenye uongozi na mshindi akawa Magufuli
Mambo ya Tz achana nayo, ulikuwa ni wizi mtupu. huku Kenya kidogo/kikubwa hakuna wizi wa kura. angalia time is realtime reporting

Kenya Elections 2022​

Official Results- Last updated August 15, 11:05 AM

PROVISIONAL RESULTSOFFICIAL RESULTS

William Ruto​

UDA

51.18%
6,406,388 Votes

Raila Odinga​

AZIMIO

48.14%
6,025,940 Votes

George Wajackoyah​

RPK

0.45%
56,055 Votes

David Waihiga​

AGANO

0.23%
28,762 Votes

12,517,145​

Total votes tallied

253 of 291​

Constituencies reporting

The winner of presidential elections needs 50% + 1 of the valid votes cast and at least 25% votes in more than 24 counties
 
Tayari kuna kesi zimefunguliwa za.wizi wa kura
 
Hahitaji shavu lolote! mtu alishakuwa deputy president, utampa shavu gani la kumridhisha!! Kama ni pesa Ruto anazo sana! Alichokuwa anatafuta ni kutengeneza CV kama rais wa Kenya!! Short of that cannot that much appeal for him!
 
Tume ya Uchaguzi (IEBC) Nchini humo inatarajiwa kumtangaza atakayeshika nafasi ya Urais kwa awamu ya tano leo, Agosti 15, 2022 baada ya zoezi la kuhesabu Kura kukamilika

Hadi kufikia sasa kwa matokeo ya awali kutoka kwenye Vymbo vya Habari, Naibu Rais, William Rutto ameonekana kuongoza kwa kupata Kura 7,152,655 huku Raila Odinga akifuatia kwa Kura 6,942708.

====================

 
Kumbe kuibiwa kura imeanza 2020?

Dada una shida wewe!
 
naona kama ruto anaweza kuvuka. Raila amefanya vibaya maeneo mengi, my wish was Raila ingawa alishirikiana na muuaji Jiwe. Hilo nilimuweka kapuni kwa kiasi fulani
Machadema yalienda na lowasa nairobi kumpigia kampeni Kenyata kwenye uchaguzi ule uliopita ili kumkomoa Laila kwakuwa urafiki na Magu,

Sasa huu uchaguzi wa mwaka huu sijui machadema yako upande gani baada ya kipenzi chao kinyata kumuunga mkono odinga?

Hakuna watu wapumbavu kama machadema.
 
Hahaha........!
 
Naomba mnieleweshe,matokeo yalikuwa yanatangazwa kila kura zinavyohesabiwa,mbona wakaacha ghafla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…