Kenya 2022 Zoezi la uhakiki limekamilika IEBC kumtangaza Rais mpya wakati wowote kuanzia sasa!

Kenya 2022 General Election
Mbona katekwa msimamizi wa uchaguzi au hujui wewe
 
 
LIVE RESULTS
Last updated: 08/15/2022, 11:35:42 local time (GMT+3)
Provisional results from IEBC
CandidatesVote

William Ruto
50.7%
6,969,466

Raila Odinga
48.7%
6,692,629

Other Candidates
0.6%
92,312
 
Hivo upo serious unahisi lisu alimshinda magufuli. You're not ok
 
Bora hao kuliko kuna inch moja hivi niliona matokeo yao .chama cha moñdi 83% zilizobaki wanagawana wapinzani
 
Sijui unavyoamini lakini Mimi nilikuwa mmoja nilioshiriki kuhesabu kura Kwa mara kwanza na nilitamani nione ni jinsi gani wanaiba mana nilikuwa wakala wa ccm, kwanza kura inavyotolewa kwenye lile box wote(mawakala) mnaoneshwa then anapewa wakala wa chama husika na kuweka mezani,
Mpaka kuhesa zile karatasi zinaisha Magufuli alikuwa na kura kama 600+ na lisu alikuwa kama na 80+ hata 100 hakufikisha.
Na hakuna kula iliyoibiwa wala kuongezwa kwenye kile kituo.
SO KWA WAKATI ULE LISSU KUMSHINDA MAGUFULI ILIKUWA NI NDOTO ZA ALINACHA.
Hata Kama magu alikuwa mwongo au katili nyuma ya pazia, lakini Kwa wanannchi alijijengea uaminifu na walimwamini sana sana tena sana.
 
tanzania hapa hata kukiwa na tume huru, upinzani kuishinda ccm bado sana, maeneo mengi bado wana imani na ccm........

binafsi siipendi ccm, na sijawahi kuwapigia kura ila kwakweli bado wananchi wengi wako na ccm
 
yako ngome ya nani?
Mimi ni m-Tz sina ngome, ila ni muumini wa mawazo mapya na uwezo wa kuchukua risk decisions!! Umri ukishakuwa mkubwa hapo usitegemee mawazo mapya wala risk taking!!. Without risk taking forget about development! Namheshimu sana mzee na anastahili heshima ya kila mkenya na mpenda haki afrika ya mashariki, lakini tukubali kuwa umri umemtupa mkono!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…