KERO Zoezi la uhakiki wa taarifa NMB

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kati ya benki zenye uswahili mwingi na huduma za chini Na RIBA kubwa basi huwezi kuacha kuitaja NMB

Hili zoezi lao la uhakiki ni uhuni mtupu,
Na wanatakiwa kuwalipa wateja hata nauli na posho ya usumbufu..
Hii bank niliachana nayo nilipomalizana na bumu la chuo. Hivi kweli unaenda kupanga foleni kuhakiki taarifa zako kwenye bank ya NMB kwenye nchi yenye banks lukuki?

Reality is: Hii bank inawachukulia powa. Maybe inajua kila customer ni mwalimu na nesi au mfanyakazi wa halmashauri Mpwayungu Village.
 
usip usipo hakiki wanafanyaje? ngoja nikatoe hela zote ili kama wakifunga zibaki kwenye simu.muda wa kukaa kwenye foleni hauko.kama wameshindwa kufanya digal verification basi watuache.
 
Mwezi uliopita nilidhamilia 100%nihakiki,kwa unynyekevu nikasogea tawini,panga foleni nafika tu naambiwa NIDA mtandao unasumbua,zoezi likaishia hapo,naeudi nyumbani niko kwenye harakati nyingine nikaangusha kitambulisho cha NIDA,na hawataki namba wanataka kitambulisho kabisa.

Kwa sababu shida ni yao,nasubiri wafunge hiyo acc nihamishe bank ya kupokelea mshahara maana naona tunasumbuana tu.
 
CRDB pia kadi unaomba juu kwa juu wewe mwenyewe tu utasema kadi utaichukulia tawi gani .
CRDB wako mbele sana sema makato yao sometimes ni ya hovyo
 
Hela yangu nikahakiki? No way
Unaboresha taarifa za kwenye akaunti yako. Eg. Makaazi, kazi, kipato e.t.c. na huwa na agizo la bank kuu. Kuna baadhi ya wateja wanatakiwa kuboresha kila baada ya miaka mitano, wengine mitatu na wengine mmoja tu. Inategea...kila ukiwa assessed km high risk customer ndio unatakiwa uhakiki kila mwaka..mfano kwa wanasiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…