Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

Huu mjadala ukiuingia unaingia mguu mmoja mmoja, kuna watu wana hasira sana humu, sijui ni wahanga wa vyeti feki
Hiyo issue ya kwamba kila anayempinga Magufuli alikuwa na cheti FEKI, naipinga kwa nguvu zote. Kwanza hata Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD FEKI na alipohojiwa na Ben Saanane ndipo akaamua kumteka na kumpoteza mpaka leo.

Mimi niko vizuri nina vyeti vyote vya kitaaluma kasoro PhD
 
Cheti fake maana yake umechukuwa nafasi ya mtu anaestahili, ni wizi wa hali ya juu. Unasota mtaani na degree yako kumbe kuna "kihiyo " aliyechukuwa nafasi yako kwa rushwa. Ni kurudisha nyuma maendeleo. Nashangaa walilipwa mafao ambayo hawakustahili, ni kuwaburuza tu mahakamani.
 
Magufuli alifanya hili zoezi la vyeti feki kwa Tanzania lakini alikuwa selective. Magufuli hakugusa TPDF, Bunge na Wakuu wa mikoa. Hata Polisi na TISS nao hawakuguswa. Halafu alidhulumu mafao ambayo ni jasho lao.

Nashauri tu kuwa kama William Rutto anataka lifanikiwe alifanye across-the-board kwa sekta zote, asiwe selective

View attachment 2969921
Umedhulumiwa vipi mafao yako wakati ulivyofoji vyeti kisheria ulitakiwa ushtakiwe kwa udanganyifu na kuibia serikali umepokea mishahara ya bure
 
Magufuli shujaa wa nini? Shujaa anakufa kwa kwa kamasi za corona?
Kwa level ya Elimu yako na umuhimu wako kwenye jamii nadhani ni vyema ukatoka upande wa kuwa hater na kuwa mtu wa kuchambua hoja .
 
Acha kutetea Double Standards wewe kenge. Unamtoa dreva mwenye cheti feki cha Form IV lakini anaendesha semi trailer Dar - Tunduru kupita Kitonga na Lukumburu bila shida, halafu unamuacha Daudi Bashite aliyekuwa na cheti cha Paul Makonda awe RC -Dar!! Hiyo ni akili au mavi??

Aliwatoa vyeti feki lakini akawaacha akina Makonda, Kabudi, Kigwangalla, Mwigulu na yeye mwenyewe Magu alikuwa na PhD Feki. Alipohojiwa na Ben Sanane akaaishia KUMUUA.

MUNGU hapendi mambo haya, ndiyo maana AKAMTUPA Jehanam
😂😂 sawa mkuu sasa hao wote ulio taja hapo vyeti vyao vingeathiri vipi utendaji wao au kipi kiliharibika walivyo fanya kazi bila vyeti???
 
""Democracy is not necessary for developing countries "" we need the leaders like Magufuri or dictator leadership to develop our country
 
Umedhulumiwa vipi mafao yako wakati ulivyofoji vyeti kisheria ulitakiwa ushtakiwe kwa udanganyifu na kuibia serikali umepokea mishahara ya bure
Nina vyeti vyote vya kitaaluma kasoro kimoja tu cha shahada ya uzamivu (PhD).

Unapowapeleka walio foji vyeti kuwashtaki Mahakamani lazima uwapeleke pia na Maafisa wa Serikali waliopokea vyeti na kuwaajiri. They are accomplices to crime
 
Kwa level ya Elimu yako na umuhimu wako kwenye jamii nadhani ni vyema ukatoka upande wa kuwa hater na kuwa mtu wa kuchambua hoja .
Unachambua hoja gani sasa wakati majibu Mungu katoa? Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Masters Level alipaswa awe mtu wa kwanza kufuata masharti ya WHO katika kujikinga na maambukizi.

Lakini kinyume chake ushauri wa WHO kama social distancing, uvaaji wa barakoa na chanjo.

Uzuri wake COVID-19 haikumkopesha yeye na wasaidizi wake akina Kijazi na Mfugale.
 
😂😂 sawa mkuu sasa hao wote ulio taja hapo vyeti vyao vingeathiri vipi utendaji wao au kipi kiliharibika walivyo fanya kazi bila vyeti???
Nijibu wewe ni kwa vipi vyeti vya madreva waliofiji vyeti viliathiri kazi zao. Then nitakupa ya hao niliowataja
 
Nijibu wewe ni kwa vipi vyeti vya madreva waliofiji vyeti viliathiri kazi zao. Then nitakupa ya hao niliowatajal

Wewe nawe sijui unashida gani aisee,, alifanya hivo kuzuia mishahara hewa sasa hao wa malori sijui umeng'ang'ana nao wa nini??? Kuna watu walifoji vyeti na kuajiriwa serikali na kuchukua mishahara hawa ndio alio pambana nao kama na hao wa maroli walikuwa wanalipwa serikalini basi ilikuwa ni haki yao kufanya hivo,,, lakini pia kuhusu hao wa kuu wa mikoa kuna sheria alifata ikiwemo kushirikisha bunge,, sheria ina wa ruhusu ndio maana hadi leo wapo
 
thamani ni elimu inatakiwa kulindwa kwa nguvu kubwa sana, ukitaka elimu ya nchini kwako idharaulike basi waache wenye vyeti feki wafurahie udhurumaji wao kwenye maofisi ya umma.....warudishe pesa zote za kenya walizolipwa kimakosa tangu waajiriwe 😎
 
Unachambua hoja gani sasa wakati majibu Mungu katoa? Magufuli aliyesoma Chemistry hadi Masters Level alipaswa awe mtu wa kwanza kufuata masharti ya WHO katika kujikinga na maambukizi.

Lakini kinyume chake ushauri wa WHO kama social distancing, uvaaji wa barakoa na chanjo.

Uzuri wake COVID-19 haikumkopesha yeye na wasaidizi wake akina Kijazi na Mfugale.

Mhmh kwahiyo wewe unawaamini sana WHO?? Ukubali au ukatae lakini ukweli ni kwamba Magufuri alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuona mbele kuliko unavo fikiri wewe kwenye hii sms yako lakini pia alifahamu siri nyingi ambazo mimi na wewe hatuzijui, kabla ya kumkosoa Magufuri ulitakiwa udadisi kwanza hizo siri alizo kuwa anasema kuwa anazifahamu ungezitambua hizo usingetoa hoja hii
 
Wewe nawe sijui unashida gani aisee,, alifanya hivo kuzuia mishahara hewa sasa hao wa malori sijui umeng'ang'ana nao wa nini??? Kuna watu walifoji vyeti na kuajiriwa serikali na kuchukua mishahara hawa ndio alio pambana nao kama na hao wa maroli walikuwa wanalipwa serikalini basi ilikuwa ni haki yao kufanya hivo,,, lakini pia kuhusu hao wa kuu wa mikoa kuna sheria alifata ikiwemo kushirikisha bunge,, sheria ina wa ruhusu ndio maana hadi leo wapo
Wewe ni mpumbavu ambaye hujui unachotetea ali mradi tu umtetee huyo marehemu wako.

Wafanyakazi hewa na vyeti feki ni vitu viwili tofauti na vyote vilifanyika. Vyeti feki ni wafanyakazi halisi ambao waligushi vyeti vya Form IV. Sasa kwa nini uwaite wafanyakazi hewa.

Jamaa una akili haijai hata kwenye kisoda.
 
Mhmh kwahiyo wewe unawaamini sana WHO?? Ukubali au ukatae lakini ukweli ni kwamba Magufuri alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kufikiri na kuona mbele kuliko unavo fikiri wewe kwenye hii sms yako lakini pia alifahamu siri nyingi ambazo mimi na wewe hatuzijui, kabla ya kumkosoa Magufuri ulitakiwa udadisi kwanza hizo siri alizo kuwa anasema kuwa anazifahamu ungezitambua hizo usingetoa hoja hii
Magufuli hakuwa anajuwa lolote wala hakuwa na uwezo wa kujua ya mbele. Angekuwa na uwezo huo asingekufa kindezi vile.

Ila nyie wapumbavu kama wewe John_Anthony kwa kuwa vichwa vyenu vina kamasi lazima mumuone kuwa alikuwa genius.
 
Makosa yamefanyika pande zote Kwa waliowaajiri na waliofoji vyeti, toa wa msamaha kwa wote waliohusika na wape miezi sita kuachia nafasi zao na kujiuzuru, baada ya hapo Anza audit safisha Kila kitu na weka utaratibu wa kuzuia haya mambo kutotokea tena, hakuna haja ya kufunga watu au kuwanyima mafao yao
 
Wewe ni mpumbavu ambaye hujui unachotetea ali mradi tu umtetee huyo marehemu wako.

Wafanyakazi hewa na vyeti feki ni vitu viwili tofauti na vyote vilifanyika. Vyeti feki ni wafanyakazi halisi ambao waligushi vyeti vya Form IV. Sasa kwa nini uwaite wafanyakazi hewa.

Jamaa uye kisod

Magufuli hakuwa anajuwa lolote wala hakuwa na uwezo wa kujua ya mbele. Angekuwa na uwezo huo asingekufa kindezi vile.

Ila nyie wapumbavu kama wewe John_Anthony kwa kuwa vichwa vyenu vina kamasi lazima mumuone kuwa alikuwa genius.

😂😂 sawa mkuu naona hoja hakuna sasa yameanza makasiriko tu
 
Magufuli hakuwa anajuwa lolote wala hakuwa na uwezo wa kujua ya mbele. Angekuwa na uwezo huo asingekufa kindezi vile.

Ila nyie wapumbavu kama wewe John_Anthony kwa kuwa vichwa vyenu vina kamasi lazima mumuone kuwa alikuwa genius.

Lengo kubwa la Magufuri ilikuwa ni kubana matumizi alibana kwa namna nyingi ikiwemo hiyo ya mishahara hewa, daktari, mwalimu, nesi, n.k hawa watu wakigushu vyeti tutakuwa na uhakika gani na taaluma zao?? Kazi zao zinahitaji taaluma ndio maana wamesomea hizo kazi...
Kulikuwa na mambo mengi sana ya hovyo
1. Baadhi ya viongozi walitengeneza majina feki ya wafanya kazi na maanisha kuwa yalikuwa majina tupu
2. Marehemu kuendelea kulipwa
3. Watu kufanya kazi za kitaaluma bila kuwa na taaluma husika
4. Hongo za namna mbalimbali
Njia pekee yakubaini haya yote ilikuwa ni ukaguzi wa vyeti

Ukiwa na cheti feki ukibaki nacho ndani nani atakuuliza kuhusu hilo? Waligushi vyeti feki ili wapate kazi serikalini walipwe fedha za serikali lakini hawakuwa na vigezo vya kufanya kazi hizo za kitaaluma...

Kwahiyo hapa jambo la muhimu alilolifanya magu ni kuzuia fedha za serikali kuibiwa hovyo,, kuhusu vyeti hili halikuwa lengo kuu kwahiyo hao wa malori uliosema hata wangekuwa na vyeti feki wangebaki navyo ndani tu wala wasinge ulizwa na mtu yeyote mtu halipwi fedha kwa kuwa na cheti analipwa kwa kufanya kazi lakini awe na vigezo vya kufanya kazi...

Huu ni wizi uliyo fanywa na viongozi walio kuwepo kipindi hicho lakini wewe bado unashindwa kutambua jitihada hizi, je wewe ungekuwa raisi ungefanya nini kuondoa hii hali ya wizi bila kuwa kagua vyeti vya wafanyakazi wako??? Au cheti kipo kwa ajiri ya nini?? Mambo mengine haya hitaji kuwa mwanachama wa chama fulani au hadi umpende sana mtu fulani ndipo uelewe jitihada zake.. kuendekeza uchama, udini, ukabila n.k huwezi kuwa mtu wa haki wala huwezi kutambua jitihada za mtu mwingine zaidi utafikiria kukosoa tu jitihada za wengine

Hapa hoja yako ilikuwa ni kwamba Magufuri aliogopa baadhi ya watu, lakini unashindwa kutambua kuwa hao wote alio waogopa alikuwa anashirikiana nao kwenye kazi kiasi gani? Ukaleta hoja za udereva kuwa aliwazingua sijui aliwazingua vipi lakini hawa madereva elimu zao ni veta huko nao wana taratibu zao za ukaguzi ndio maana askari wa ukaguzi wapo barabarani muda wote,, mimi hoja yangu ilikuwa ni watu kufanya kazi zinazo hitaji utaalamu wakusomea lakini wao wamelazimisha mambo tu

Ebu punguza matusi uwe unaeleza vizuri ili ueleweke
 
Magufuli hakuwa anajuwa lolote wala hakuwa na uwezo wa kujua ya mbele. Angekuwa na uwezo huo asingekufa kindezi vile.

Ila nyie wapumbavu kama wewe John_Anthony kwa kuwa vichwa vyenu vina kamasi lazima mumuone kuwa alikuwa genius.

lengo lako ni ungane na wewe tu mkandamize Magufuri, Je itatusaidia nini? Lakini suala kufa hii sio hoja kujadiliwa kwa sababu hata wewe hujui utakufa vipi?

Wapo viongozi wengi sana walio kuwa na maono na matarajio makubwa sana lakini waliuawa haraka sana, mfano
1. Patrice Lumumba - DRC
2. Thomas Sankara - Buknafaso
3. Kwame Nkurumah - Ghana
4. Gadaffi - Libya
5. n.k
Hawa wote unaweza ukasema hivo hivo lakini tatizo kubwa la nchi za Afrika ni watu kuwa na wazo yenye upinzani kama wewe,, ndio maana hata hawa wote waliuawa, waliofanya haya yote naweza kusema ni waafrika na sababu ninazo,,
 
Back
Top Bottom