Zoezi la Vyeti Feki Kenya: Rutto Asiingie Mtego wa Magufuli

Ni kweli suala la kughushi vyeti ni kosa kisheria, lakini ukweli ni kwamba utaratibu wa kisheria haukufuatwa wakati walipowafukuza watuhumiwa wa vyeti feki hapa Tanzania.

Huwa nashindwa sana kuwaelewa watu mnaozungumzia sheria kwenye mambo ya msingi kama hayo,, nadhani lengo lenu ni kuwa linda watu wanao dhulumu haki za wengine na kufanya mambo yaende taratibu sana
Ndio maana nasema demokrasia haifai kama tunataka nchi iwe na maendeleo ya halaka
 
Huyo pimbi mtowe hapo kwenye hiyo orodha. Alikuwa mwizi na mwongo tu
 
Acha kujaza pumba kwenye servers za JamiiForums
 
Mkuu vp kuhusu Bashite wako?
 
Huwezi kuingia TISS au jeshini na cheti fake, maana vetting ya huko ni mfumo. Acheni uzushi wa akina mbowe wa kimtaani
Yaani kama wewe ungekuwa chawa wangu kazi ilikuwa inaisha leo, akili gani hizi!!
 
TPDF hakuna vyeti feki kwa vile TPDF huto elimu bure wa askari wake. Zamani walikuwa wanatoa elimu ya sekondari yotre kuanzia form 1 hadi vyuo (Nadhani unaijua sekondari ya TPDF Makongo), siku hizi nadhani wanaanzia form 5 hadi vyuo.
Mkuu kuwa makini na unachoandika, jua kuna watu tunakuheshimu. Kama umelewa usipost chochote, ni ushauri tu
 
Hoja haiko kwenye hatia bali iko kwenye double standards. Magufuli alifanya kwa sekta chache na zingine akaogopa.
huwezi kuachia wanajeshi 600 mitaani bila ya kazi, au vijana waliosomea mambo ya ulinzi mitaani, itakuwa ni balaa.

Jifunze kutoka serikali iliyopinduliwa ya Zanzibar (ile iliyodumu mwezi mmoja). Inasemekana moja kati ya kosa kubwa lililotendeka ni kuondoa vijana polisi na jeshi kwenye ajira na kuweka vijana wapya wa 'Hizbu' kujazia zile nafasi. Sasa matokeo yake yalipokuja mapinduzi wale vijana wapya walioajiriwa hawakuwa na uzoefu kwenye mambo ya ulinzi, na kwa asilimia fulani ilichangia kuchukuliwa kwa serikali kwa urahisi sana. Hii alinisimulia mzee mmoja wa Afro Shirazi (sasa hivi ni marehemu).
 
Huna tofauti na bashite, anyway mawazo yako yaheshimiwe
 
Huwezi kuingia TISS au jeshini na cheti fake, maana vetting ya huko ni mfumo. Acheni uzushi wa akina mbowe wa kimtaani
walikuwepo bwana na waliokuwa wanawaingiza jamaa zao ndiyo hao hao wenye mfumo. Mara nyingine kwa cheti hicho hicho kimoja.
 
Nakazia hoja hapa
 
Nimesoma comments za baadhi ya wajinga, nimechafukwa hadi nimeshindwa kumalizia biriani langu.

Tumefika huku kwenye kutetea wagushi nyaraka? Tunataka wagushi nyaraka waachwe? Tunataka wagushi nyaraka walipwe?

Ama kweli Africa ni bara la wajinga.
 
TPDF hakuna vyeti feki kwa vile TPDF huto elimu bure wa askari wake. Zamani walikuwa wanatoa elimu ya sekondari yotre kuanzia form 1 hadi vyuo (Nadhani unaijua sekondari ya TPDF Makongo), siku hizi nadhani wanaanzia form 5 hadi vyuo.
JWTZ/TPDF hakuna vyeti feki???
Una uhakika kuhusu suala hili?? Umefanya utafiti wa kutosha lakini kuhusiana na suala hili??
 
Je, una uhakika kwamba Mwendazake amekufa kutokana na Covid-19 ???
 
Alikudanganya. Nenda kasome vizuri historia ya mapinduzi ya ZNZ.
 
Nimesoma comments za baadhi ya wajinga, nimechafukwa hadi nimeshindwa kumalizia biriani langu.

Tumefika huku kwenye kutetea wagushi nyaraka? Tunataka wagushi nyaraka waachwe? Tunataka wagushi nyaraka walipwe?

Ama kweli Africa ni bara la wajinga.
Usichague cha kusoma, bali soma na kuelewa. Hatutetei wagushi vyeti bali tunasema zoezi la kuondoa wagushi vyeti lilikuwa la ubaguzi. Kuna sekta hazikuguswa. Mbona liko wazi tu.

Kweli unamtoa dreva aliyegushi cheti cha Form IV na unamuacha Daudi Bashite anayetumia cheti na majina ya Paul Makonda awe RC Dar?

Naomba Lyetu uni jibu hilo kwa utulivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…