Mkuu, umehitimisha vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, umehitimisha vizuri.
Hawasikiiiii aiseee na vyeti vyao bandia,,,,I wish Polisi wajifunze kwenye hili.Mwisho wa siku Order kutoka JUU huishia wao kwenda jela au kunyongwa.
Kuna siku moja kesi ya Mwangosi itafanyiwa appeal halafu kwenye hio appeal hukumu ya yule dogo itakua kama ya huyu huyu..... BAK tpaulHili ni fundisho kwa wale wasio na uwezo wa kuchambua amri wanazopewa na mabwana zao. Huyo aliyetekeleza maagizo ya mkubwa wao anaenda kuwekwa kitanzi wakati aliyemuagiza kutekeleza mauwaji akiachiwa huru. HAHAHAHAHAHA
Nadhani sasa polisi wetu waone ubaya wa kutumika kama mbwa. Zombi ndiye aliyewaagiza waue, lakini kwa kuwa Zombi hakushika bunduki, yeye ameachiwa huru huku mbwa wake akihukumiwa kunyongwa. Nafahamu kwamba kuna askari ambao wamefutwa kazi na wengine wana kesi mahakamani kwa kuua watu wakati wa operesheni tokomeza huku wale waliowaagiza kuua wakiwa hawana kesi yoyote ya kujibu. Hili liwe fundisho kwa polisi kutumiwa vibaya na wanasiasa au watu wengine kwa maslahi yao binafsi. Aidha tazama jinsi ambavyo muuaji wa Mwangosi amehukumiwa kwenda jela (ijapokuwa kifungo laini) huku akina kamanda Kamuhanda na wengine waliomtuma wakipandishwa vyeo. Sasa polisi wetu wajifunze somo hapa na wakatae kutumika kama kondomu au toilet paper.
unataka ukashuhudieAnanyongewa wapi
Katika kesi za MAUAJI anayetiwa hatiani ni yule aliyeshika bunduki sio aliyetoa amri ya kuua. Ndio maana liZOMBI limekwepa kitanzi. Polisi wetu wanaotumiwa kama vyangudoa wana jambo la kujifunza hapa.Ushahidi wa kuwatia hatiani umekosekana..!
Inaonekana Li-Zombe lilikuwa likicheza hizi deal kimakini sana.
Ukitaka kupata jibu la swali lako uhukumiwe wewe hiyo hadhabu hiyo!?Naomba kujuzwa hivi Kwa tanzania hukumu ya hivi ni kweli utanyongwa?
This is a serious allegation, kama huna uhakika ifute. Ni insult kubwa kwa judiciary. Meaning kwamba haki haikutendtka na aliyehukumiwa kunyongwa ni
So there was a deal that if he drops the civil case against the state he will walk free from the criminal charges.is that what you mean?Nakubaliana na contention yako. Lkn for Zombe case you can not say for sure kuwa haki haikutendeka kuwa alipewa options mbili na mahakama ikaangukia kwenye options hizo.
Umesema kweli kabisaUshahidi wa kuwatia hatiani umekosekana..!
Inaonekana Li-Zombe lilikuwa likicheza hizi deal kimakini sana.
Nashangaa yupo huru zoote?!!! haaa nadhani hata christopher hanyongwi wala nn nimekulia magumashini najua mambo yanavyoenda upande huo[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] m 7[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Hapana Walikuwa Uraiani wakijibu Rufani Yao.Sikujuwa kama Jamhuri ilikatia rufaa kesi, ila naomba kujuzwa je washtakiwa walikuwa jela muda wote wakisubiri hii hukumu ya rufaa?
Na watayalipa Haswaa maana Yule Muhalifu alitenda mauaji Yale kwa Kofia ya Cheo Chake. Manina na Walipe Tu..sasa serikali inatakiwa kulipa MABILIONI kwa familia za marehemu waliouawa na polisi.
Ungefaidika na nini?Angehukumiwa Kunyongwa Zombe ningefurahi zaidi kwani huyu naye alishiriki kikamilifu. Lilikuwa ni genge Lao.