Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 7,781
- 6,966
Kwa hiyo kama SP Bageni kakutwa na hatia hao wengine wanakuwaje hawana hatia wakati walikuwa na lengo moja?
Sheria haimfungi mtu kwa logic bali ushahidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo kama SP Bageni kakutwa na hatia hao wengine wanakuwaje hawana hatia wakati walikuwa na lengo moja?
MkuuWakuu, naomba kuwakumbusha tu kwamba Mageni na wenzake ndiyo waliowakamata marehemu na baadae kwenda nao huko msituni na yaliyotokea huko ni Mageni akiwa mhusika mkuu anafahamu na amepata haki yake.
Zombe alikuwa anatuhumiwa kuwalinda askari wake na kuihusisha kesi na siasa hivyo kuweka mlolongo mrefu ulochukua miaka 10.
Ila mahakama ya Rufani Tanzania imeridhika na upande wa mashtaka kwamba ni Mageni alietenda kosa la kuwapiga risasi raia waso na hatia na leo hii ni miaka 10 familia zao zimekuwa zikingoja hukumu.
Hivyo tusiendeleze siasa sana katika mambo ya msingi kama haya ya mtu kuua kwa kukusudia na kutegemea Zombe amkingie kifua khasa baada ya mahakama kuamua kujivua magamba ya ufisadi na vitendo vya rushwa.
Mageni kapatikana na hatia na hukumu yake ni kifo kwake kama alivyowaua watu waso na hatia.
Case ya Nyani Mpelezi Ngedere ilikuwa lazima iwe hivyo Zombe amenasuliwa "kimkakati" na kukidhi mambo flan flan [emoji40] [emoji40] nikweli Kwenye kuhumu mahakama hiyo sioni kosa Lake, isingeweza kuhukumu kwa Hisia ulikuwa ni Wajibu wa DPP Kuthibitisha Hilo.Wanajamvi
naona hisia zimetawala kiasi kwamba hoja za msingi zinaachwa
1. Kuna Christopher Bageni
2. Abdallah Zombe
Kosa la msingi ni mauaji ambalo mahakama kuu haikuona hatia kwa wahusika
Kesi imefikia tamati mahakama ya rufani, Bageni amepatikana na kosa la kuua na hivyo anyongwe hadi afe.
Mahakama haikuona Zombe kama 'accomplice' kwa namna yoyote
Mwendeaha mashtaka hakuweza ku associate mauaji na Zombe
Kumbuka hapa ni mauaji kwanza, kabla ya habari nyingine
Kilichokatiwa rufaa kwa Zombe ni kuhusu cover up aliyofanya
Kimahakama, mwenye jukumu la kuthibitisha tuhuma ni mshtaki.
''The onus is on the complainant to prove guilty''
Inaonekana wameshindwa kwa hilo, Zombe yupo huru
Hata kama tunajua alifanya hivyo, kama haikuthibitishwa mahakamani, mahakama haiwezi kutoa hukumu hisia.
MkuuNiliusoma huo uzi jamaa alikuwa ni WA miaka ya 80.takwimu halisi za Haki za binadam zinaonyesha kikwete kanyonga mmoja mkapa sijui wawili. Hapo ndo huwa sielewi nini maana ya hi adhabu
DaaaahWanajamvi
naona hisia zimetawala kiasi kwamba hoja za msingi zinaachwa
1. Kuna Christopher Bageni
2. Abdallah Zombe
Kosa la msingi ni mauaji ambalo mahakama kuu haikuona hatia kwa wahusika
Kesi imefikia tamati mahakama ya rufani, Bageni amepatikana na kosa la kuua na hivyo anyongwe hadi afe.
Mahakama haikuona Zombe kama 'accomplice' kwa namna yoyote
Mwendeaha mashtaka hakuweza ku associate mauaji na Zombe
Kumbuka hapa ni mauaji kwanza, kabla ya habari nyingine
Kilichokatiwa rufaa kwa Zombe ni kuhusu cover up aliyofanya
Kimahakama, mwenye jukumu la kuthibitisha tuhuma ni mshtaki.
''The onus is on the complainant to prove guilty''
Inaonekana wameshindwa kwa hilo, Zombe yupo huru
Hata kama tunajua alifanya hivyo, kama haikuthibitishwa mahakamani, mahakama haiwezi kutoa hukumu hisia.
Zombe..ni smooth n smart killer..huwezi muona kwa macho kirahisi kwa kutumia jicho la sheria lisilo na lenzi kaliKwa mtu yoyote aliyefuatia lile tukio la mauaji atakubaliana na mimi kuwa hapa mahakama imetoa hukumu halali. Huyu jamaa aliyehukumiwa kunyongwa kweli ndie mhusika mkuu kwani marehemu wote walichukuliwa chini ya usimamizi wake na wafikwa na umauti chini ya usimamizi wake. Zombe ni lazima angepona kwa sababu hakuwepo kwenye tukio na hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa alitoa amri wauawe.
Kwa kweli umesema ukweli mtupuKujua ukweli, ni kaaz kwelikweli.
Nani wa ku appeal mkuu..
Mhusika .Nani atasaini?
MkuuKatika kesi za MAUAJI anayetiwa hatiani ni yule aliyeshika bunduki sio aliyetoa amri ya kuua. Ndio maana liZOMBI limekwepa kitanzi. Polisi wetu wanaotumiwa kama vyangudoa wana jambo la kujifunza hapa.
Ni kweli mkuu. Unajua ten haya mawasiliano yasiyo rasmi. Hata kwenye maungamano ya wale polisi kuna mmoja alinukuliwa akisema ''mkuu amesema wachijwe''. Lakini kwa udukuzi wangu niliofanya issue iko hivi: kipindi hicho kulikuwa na ongezeko la ujambazi wa kutumia silaha hivyo kulikuwa na ''un-written order'' kwa polisi kuto-mess up na mshukiwa yoyote aliyeonekana ni jambazi. Sasa wale marehemu walipokamatwa na kiasi kikubwa cha fedha huku wakiwa na silaha (waliyokuwa wanaimiliki kihalali) hawa polisi wetu kama wasivyopenda kujiridhisha walichukulia kuwa na majambazi. Lakini hata hivyo kuna kitu kimoja kiliwafanya wasipenda kuchunguza zaidi: i.e. zile fedha walizobeba ziliwalevya polisi na kuona kuwa kama wakiwaondoa watakuwa na nafasi nzuri ya kujipatia chochote. Hivyo wakawasiliana na Zombe aliyewapa order ya kuchinja huku akiamini wanachinja majambazi. Sasa hapa unaweza kugundua kuwa huyu mhukumiwa na wenzake hawakupenda kujiridhisha kama ni majambazi kweli au la kwa ajili ya tamaa ya kuchukua zile fedha.Zombe..ni smooth n smart killer..huwezi muona kwa macho kirahisi kwa kutumia jicho la sheria lisilo na lenzi kali
Umeniongezea kituNi kweli mkuu. Unajua ten haya mawasiliano yasiyo rasmi. Hata kwenye maungamano ya wale polisi kuna mmoja alinukuliwa akisema ''mkuu amesema wachijwe''. Lakini kwa udukuzi wangu niliofanya issue iko hivi: kipindi hicho kulikuwa na ongezeko la ujambazi wa kutumia silaha hivyo kulikuwa na ''un-written order'' kwa polisi kuto-mess up na mshukiwa yoyote aliyeonekana ni jambazi. Sasa wale marehemu walipokamatwa na kiasi kikubwa cha fedha huku wakiwa na silaha (waliyokuwa wanaimiliki kihalali) hawa polisi wetu kama wasivyopenda kujiridhisha walichukulia kuwa na majambazi. Lakini hata hivyo kuna kitu kimoja kiliwafanya wasipenda kuchunguza zaidi: i.e. zile fedha walizobeba ziliwalevya polisi na kuona kuwa kama wakiwaondoa watakuwa na nafasi nzuri ya kujipatia chochote. Hivyo wakawasiliana na Zombe aliyewapa order ya kuchinja huku akiamini wanachinja majambazi. Sasa hapa unaweza kugundua kuwa huyu mhukumiwa na wenzake hawakupenda kujiridhisha kama ni majambazi kweli au la kwa ajili ya tamaa ya kuchukua zile fedha.
Something wrong, murder case rufaa unasikilizia nje?Hapana Walikuwa Uraiani wakijibu Rufani Yao.