TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Huu mwaka haunogi vifo vingi ni ajali kwa vijana wadogo wanaojitafuta na kuelekea kujipata, foleni za dar zinafanya mtu ajitoe kwa kutumia usafiri wa pikipiki mwishowe ni kifo, wapumzike mahali pema
Kuna muda machozi Yana nilenga nikiwaza hizi ajari now ningekua nimesha sahaulika..

Still naendelea kurecover naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu
Wangu Mwenyezi Mungu amekua mwema kwangu

Kwa dar es salam ajar za boda boda Ni nyingi mno nenda mahospitalini wahanga Ni wengi..

Ukienda mishe mishe ama ofisin ama point A to B na kurudi salama nyumbani Ni Jambo la kushukuru mwenyezi Mungu
 
Pole na hongera sana natamani ndg yangu walau angekuwa anakanyagia km wewe ila ndo hivyo, bodaboda zinamaliza nguvu kazi ya taifa
 
Nimekaa dar miaka 8 ilikua haiwezi kupita siku bodaboda hajagongwa morogoro road kila siku ni vifo vya boda boda ila nilipokuja mikoani mfano jiji la mwanza nimekaa mda sana sinawahi kuona ajali ya boda boda hata siku moja kwanza ile kuovertake kijinga jinga na mispeed ya kipuuzi huku hamna. Boda boda wa huku ni watu wazima, hawa wanyoa viduku sijawaona. Tatizo la dar boda boda wengi ni vijana wadogo walevi, wavuta bangi sijui nisemeje ila hawako makini kabisa barabarani ndio maana kila siku ni ajari tuu za kijinga.
 
Mkuu huku dar es salaam Kuna pilika nyingi boda boda nyingi sanaa magari Ni mengi Sanaa watu pia Ni wengi Sanaaaa

Hapo mwanza barabara kubwa Ni mbili TU hapo mwanza nilikuaga naendesha kwenye rough road Mara moja moja Ila huku dasalama sijawai endesha
Sawa wapo vijana walevi Ila ajar hainaga taarifa maana huchukua mpaka wenye taadhari

Mimi nilidhani ajar zinawapataga wengine muda huu nipo nijafunza kutembea Tena Kama mtoto

All in all
Mwenyezi Mungu atupe MWISHO MWEMA
 
Mkuu unadhani huku mikoani jam hazipo? Kutoka kimara mpa mail moja kuna jam gani? Kuna sehemu inaua boda boda kama magari saba na kwa yusuph? Boda boda wa dar hawapo makini wengi ni bangi tuu na hawana majukumu.
 

Kusema maiti ilikaa mpaka saa nne asubuhi sio kweli coz ingezua taaruki sana
Hawa waunganishwe kesi ya Malisa,wanalichafuwa jeshi.
 
Daaah inasikitisha kwa kwel😪😪
 
Mkuu unadhani huku mikoani jam hazipo? Kutoka kimara mpa mail moja kuna jam gani? Kuna sehemu inaua boda boda kama magari saba na kwa yusuph? Boda boda wa dar hawapo makini wengi ni bangi tuu na hawana majukumu.
Japo na miaka 7 sijaja home (mza) Ila hapo mwanza hata mataa ya barabarani yapo wapi labda buzuruga E.T.C

Huwezi fananisha pilika pilika za BODABODA na MAGARI na WATU Between DAR ES SALAM na MWANZA......

Jumapili hapo mwanza usafir Ni shida ukiwa maeneo ya mecco hakuna VIPANYA (DALADALA)

Napataga wakati mgumu kupazoea mwanza

mwanza bado Sanaa huwezi compare na dar es salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…