TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

Nakubali dar kuna jam sana kuliko mwanza lakini point yangu ni kwamba boda boda wengi wa dar nivijana wadogo hawapo makini na hawafati sheria za barabarani kulinganisha na mwanza boda boda wengi ni watu wazima wana majukumu. Ndio maana nikakuuliza kutoka kimara mpaka kibaha kuna jam gani? Kuna ajari ilitokea pale kimara round about boda boda mbili zilipita katikati ya semi tela mbili ile madereva wa semi wanakata kona boda zote zikabanwa katikati walibanwa wote pamoja na abiria wote walikufa sasa hao bodaboda utaniambia walikua wanajielewa kweli?
 
Ni sahihi
 
Unao wazungumzia si ndo km huyo kwa avatar yako, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani
Nijuavyo mimi pikipiki inanunuliwa ikiwa na hivyo vioo, sasa nitoe 10000 ya kununua vioo vya nini tena!?
 
Poleni kwa wafiwa wote, kiukweli boda boda huwa ni watu wasio zingatia sheria kabisa.
 
ni kweli walevi wanauwa watu sana hasa usiku wanapotoka uko kupiga gambe zao japo na boda wana mapungufu yao nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…