Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana!
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ! Kimahusiano zuchu atafute mume ambaye sio celebrity,Azae awe na familia yake kabla hajapata UTI na magonjwa mengine sugu
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ! Kimahusiano zuchu atafute mume ambaye sio celebrity,Azae awe na familia yake kabla hajapata UTI na magonjwa mengine sugu