Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
🤣🤣🤣 Twende na Aliyepo kina sauli bado wanabadilishwa.Jibu kichungaji usilete fujo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 Twende na Aliyepo kina sauli bado wanabadilishwa.Jibu kichungaji usilete fujo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Nami nimeshangaa...eti wakati ni sasa Kwan wabaadae utakuwa wa naniLakini maisha ni yake broo mbona unateseka sana na maisha ya watu?
Ni bongo tu ambapo kila msanii akishapata kajina tu wanataka aachane na label iliyomkuza... Ndo maana mziki wetu hauendi popote.
Nina uhakika harmo na rayavany wangebaki usafini wangefanya makubwa na wangekuwa mbali sana kimziki. Sema wakajaa kwenye mifumo ya wabongo km alivyojaa mavoko na mpaka sasa wanafurukuta wafikie japo nusu ya vile walivyokuwa WCB lakini waapi. Wanaishia kutapatapa tu
Mbona hata Sasa wa kawaida tuNje ya wasafi huenda akawa wa kawaida kama ilivyo kwa movoko, ray vanny na harmonize japo kapambana sana harmo
Na unawezakuta huyo anayemshauri Zuchu matoto yake hayana kazi na yamezalia nyumbani! Ahahahahaha!!!Lakini maisha ni yake broo mbona unateseka sana na maisha ya watu?
Nimeelewa hapo chini tu ulipoandika "Sugu" Yaani Mr 2.Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana!
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ! Kimahusiano zuchu atafute mume ambaye sio celebrity,Azae awe na familia yake kabla hajapata UTI na magonjwa mengine sugu
Rayvan yupo vizuri sana tatizo hufatilii now kabase nje tena nchi za majuu huko hakamatiki mpaka mondi ana muonea wivu,zuchu akitoka wasafi ndio kupotea kwake mazimaNje ya wasafi huenda akawa wa kawaida kama ilivyo kwa movoko, ray vanny na harmonize japo kapambana sana harmo
YUTIYAI😊Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana!
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ! Kimahusiano zuchu atafute mume ambaye sio celebrity,Azae awe na familia yake kabla hajapata UTI na magonjwa mengine sugu