😅😅😅Hizi ni ndio IQ 5, umekuja kumpa ushauri huku JF maana yake humfahamu vizuri otherwise mngetumiana meseji WhatsApp.
Sasa mtu hujui maisha yake yako vipi unamwambia aolewe? Kwanza kuolewa ndio mafanikio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅😅Hizi ni ndio IQ 5, umekuja kumpa ushauri huku JF maana yake humfahamu vizuri otherwise mngetumiana meseji WhatsApp.
Sasa mtu hujui maisha yake yako vipi unamwambia aolewe? Kwanza kuolewa ndio mafanikio?
Mkuu mimi zaidi ya kuona anasafiri sijasikia hit song kama ilivyokuwa kwa tetema mkuu. Kama anafanya vizuri nje sana basi bila shaka nyimbo hata huku zingefanya vizuri kama ilivyo kwa akina burna na tylaRayvan yupo vizuri sana tatizo hufatilii now kabase nje tena nchi za majuu huko hakamatiki mpaka mondi ana muonea wivu,zuchu akitoka wasafi ndio kupotea kwake mazima
Wa kawaida kwa maana IPI?Mbona hata Sasa wa kawaida tu
😂😂😂😂Na unawezakuta huyo anayemshauri Zuchu matoto yake hayana kazi na yamezalia nyumbani! Ahahahahaha!!!
Duh! Ushabiki mwingine sasa mkuu wewe umejuaje diamond anamuonea wivu rayvanny?Rayvan yupo vizuri sana tatizo hufatilii now kabase nje tena nchi za majuu huko hakamatiki mpaka mondi ana muonea wivu,zuchu akitoka wasafi ndio kupotea kwake mazima
Woyooo finally someone is with me, kuolewa siyo mafanikio.Hizi ni ndio IQ 5, umekuja kumpa ushauri huku JF maana yake humfahamu vizuri otherwise mngetumiana meseji WhatsApp.
Sasa mtu hujui maisha yake yako vipi unamwambia aolewe? Kwanza kuolewa ndio mafanikio?
Woyooo finally someone is with me, kuolewa siyo mafanikio.
Kwa namna zozote Kwa hao wengine wakawaida Kwa namna gani?Wa kawaida kwa maana IPI?
Ukitaja sasa hivi top female artists utawataja Zuchu na Nandy unavyosema ni kawaida kwa maana ipiKwa namna zozote Kwa hao wengine wakawaida Kwa namna gani?
Hata wewe ungemind business zako usingekuja kucomment hapa,fu.ck youyou have to mind your fcking business
Kawaida sanaUkitaja sasa hivi top female artists utawataja Zuchu na Nandy unavyosema ni kawaida kwa maana ipi
Suala ni kuipata au la, hiyo ya 'haki yake' uko nje mtiririko unayoenda. Si kila mwanamke anaipata/ataipata.Kila mwanamke mwenye kumcha mungu ndoa ni haki yake
Eti kabla hajapata UTI na magonjwa mengine sugu, usikute anayo.....ushaona video zake mpya anavyo-act? Kuna video yake moja niliona anacheza ghafla akaanza kujishika sehemu za siri kama vile anawashwa ndani kwa ndani.Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana!
Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ! Kimahusiano zuchu atafute mume ambaye sio celebrity,Azae awe na familia yake kabla hajapata UTI na magonjwa mengine sugu
Tembea uone acha kujifungia wewe??!! Upo upo tuDuh! Ushabiki mwingine sasa mkuu wewe umejuaje diamond anamuonea wivu rayvanny?