Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

Jibu kichungaji usilete fujoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣 Twende na Aliyepo kina sauli bado wanabadilishwa.
 
Hizi ni ndio IQ 5, umekuja kumpa ushauri huku JF maana yake humfahamu vizuri otherwise mngetumiana meseji WhatsApp.
Sasa mtu hujui maisha yake yako vipi unamwambia aolewe? Kwanza kuolewa ndio mafanikio?
 


Nazani swala la Zuchu kwa hapa ni exceptional ukilinganisha na hao wengine sababu kwa mfano nikuulize hivi itawezekana Zuchu kuachana na Nasibu Diamond (Boss) wake Halafu kubaki hapohapo na kuendelea kufanya nae kazi kama kawaida ??
Kwa hiyo Nasibu akiingia kwenye uhusiano mwingine wa kimapenzi na kujiachia na wanawake zake Zuchu ataendelea kuwepo karibu kufanya nae kazi kama ilivyo sasa ??
Yani mwanamke awe kwenye private company anatembea na CEO Halafu wakaachana Halafu aendelee kufanya kazi hapo Tena kampuni yenyewe iwe ni ndogo tu idadi ya staff inahesabika ??!
 
Mwanaume kufuatilia maisha ya watu ujue wewe tayari dishi limeyumba kichwani hazimo kbsa
 
Achana na maisha ya watu, hayo anayoyaishi ndio raha yake hapa duniani.
 
mtoa mada hivi mtori wako bado una nyama kweli?? au wadau wameweka ndizi na kula nyama zote??
 
Nime
Nimeelewa hapo chini tu ulipoandika "Sugu" Yaani Mr 2.
 
Nje ya wasafi huenda akawa wa kawaida kama ilivyo kwa movoko, ray vanny na harmonize japo kapambana sana harmo
Rayvan yupo vizuri sana tatizo hufatilii now kabase nje tena nchi za majuu huko hakamatiki mpaka mondi ana muonea wivu,zuchu akitoka wasafi ndio kupotea kwake mazima
 
YUTIYAI😊

Cc. sinza pazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…