Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platinumz


Kwani sisi ndio tuliwataka wawe pamoja, upumbavu upumbavu tu...
 
Tabia huwa haina dawa,ila binadamu tulivyo vipofu,hapo tena ataingia mwanamke mwingine akiamini yeye ataweza kumbadilisha Diamond..
 
Usijimalize sana bakisha maneno 😂
 
S Sijui kuna nyimbo inaachiwa...... maswala mapenzi na Diamond sio ya kuyachukulia seriously.
 
Mapenzi yao hao kama saa mbovu.
 
Kwa hiyo Diamondi kumbe ni kweli alikuwa anapiga hiyo namba??
 
ila nifah bwana😆

mimi nina heshima kama zote ila vumbi mfukoni

hapo vipi?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…