Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 18,046
- 38,598
Bali?Ngabu’s nugget of wisdom for the weekend…..
All relationships do to come to an end, either by force or by choice!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bali?Ngabu’s nugget of wisdom for the weekend…..
All relationships do to come to an end, either by force or by choice!
Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.
"Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya".
Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best".
….the hell is Bali? Indonesia?Bali?
Amesahau tu kuwa mapenzi ya wasanii ni disposable. Yanakuwa na expiry date za karibu karibu..Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu
Usijimalize sana bakisha maneno 😂View attachment 2913617Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)
Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.
Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.
My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
Sijui kuna nyimbo inaachiwa...... maswala mapenzi na Diamond sio ya kuyachukulia seriously.Zuchu adai heshima imekosekana kwenye mahusiano yake na Diamond Platinumz, atangaza kuachana nae rasmi. Hii inakuja wiki kadhaa baada ya Diamond pia kutangaza kuwa yupo single na baadae kurudisha uhusiano wao.
"Hello fan-milly i had to post this to clear my conscience. kuanzia leo hii mimi na Nasibu (diamond) hatuko pamoja. i know this has been our thing but as hard as it is kumuacha mtu unaempenda hii naomba mungu iwe ya mwisho na nianze maisha mapya".
Zuchu ameongeza kuwa; "Mapenzi ni heshima kwa bahati mbaya sana hiko kimekosekana kwetu. as for him bado tuna kazi za pamoja i wish him and his family the absolute best".
View attachment 2913611
Mapenzi yao hao kama saa mbovu.View attachment 2913617Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)
Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.
Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.
My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
ila nifah bwana😆View attachment 2913617Imebidi nikahakiki hili kupitia ukurasa wake rasmi, (Zuchu)
Binafsi nampongeza sana, amekuwa mwanamke sasa na ameitambua thamani yake. Uking’ang’anizi kwa mwanaume asiyekupa heshima sio sifa, ni kujiumiza mwenyewe.
Kila la kheri Zuchu, upate furaha, uhuru na amani katika maisha yako mapya.
My take: Mnakumbuka juzi wakati nasema vigezo vyangu kwa mwanaume kigezo kikuu niliweka heshima? Nafikiri mnaona sasa kwamba pesa sio kila kitu. Joannah
Mi nina kaka mzuri, hayo ya nini mimi?ila nifah bwana😆
mimi nina heshima kama zote ila vumbi mfukoni
hapo vipi?
sina lengo la kumuibia 'kaka mzuri'Mi nina kaka mzuri, hayo ya nini mimi?
KitukoBongo movie kama nyingine
Mkuu hebu tuwe serious kidogo.. hivi Zuhura asingekua maarufu.... au basi tuyaache tu.Zuchu njoo kwangu, mimi mtulivu na kuiba mali ya mtu sijafunzwa😁