Tetesi: Zuchu & Damond , New Couple In Town...

Khadija kopa shangingi la miaka hiyo , mama domo ushangingi kaanza juzi baada ya mwanae kupata pesa... sasa hiv nasikia mashoga hatar ila soon watakuja kugombana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Vita za hawa wakigombana huwa wanaacha a big mess, noisy, damages and casualties kubwa mno
lkn pia kuna kitu nakiona kwa mama ndomo..
huwa naona hapendi mademu wa mwanae ambao wamemzidi na hawezi kuwa-control...
 
Ukioa janamke zee likelihood ya kugombana mara kwa mara na breakout ni kubwa....
lkn ukioa kadogo dogo unakachorea KATIBA tu kanaifata no harm...
kuoa nako ni kazi ya sanaa/artistic work
 
Vita za hawa wakigombana huwa wanaacha a big mess, noisy, damages and casualties kubwa mno
lkn pia kuna kitu nakiona kwa mama ndomo..
huwa naona hapendi mademu wa mwanae ambao wamemzidi na hawezi kuwa-control...

Tanasha alielezea hii kwa enterview... huyu Mama asipokufa ( Mungu nisamehe) Diamond hawez kuonga abadan.... anapenda sana kuwa incharge na mahusiano ya mwanae

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zuchu ni chombo original kile, usifananishe na wale made in China wengine ukifukia mashimo mara mbili tu tank linaanza kuvuja oil.

Zuchu nae mpaka kafikia kuwa staa, lazima kachimbwa sana mbele na nyuma , wote ndo wale wale tu ..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa watu wanaojua mwanamke wa kuoa na kuweka ndani Zuchu ni sahihi yeye ni wife material
 
Kwa watu wanaojua mwanamke wa kuoa na kuweka ndani Zuchu ni sahihi yeye ni wife material

Kweli lakini sio kwa Domo , yule hata malaika kwake ana kasoro, Sijui anatakag mwanamke wa aina gan

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Zuchu nae mpaka kafikia kuwa staa, lazima kachimbwa sana mbele na nyuma , wote ndo wale wale tu ..

Sent from my iPhone using JamiiForums

Aiseeeeer

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Weka picha ilo hekalu la mbezi beach tulione,amepanga au amejenga/amenunua?
 
Swadakta tu kama ni kweli,hivyo viumbe tumeumbiwa sisi wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…