warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #41
Hivi ww ni jinsia ya Ke samahani lakini.
Ata tanasha, zari nao walianzia uko uko uswazi na kuwa stars ni kitu cha kawaida tu na pesa ndo inaongea
Jinsia tuweke pembeni kwanza , let’s enjoy the Hot Coffee in the morning ..
Tanasha na Zari mazingira waliyokulia ni tofauti na domo , wale mademu wako vizur kichwani
Sent from my iPhone using JamiiForums