Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho


[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ila too much, ila wanawachunia kwa sababu watawahitaji hapo 25.
 
Mtihan mzito.nimekaa nafanya kaz zang nasikia mtoto wa jiran anaimba hicho hicho.nikawaza yan hawana kabisa creativness zero kabisa.isa matona mpaka leo ukikaa ukamsikiliza unahisi anaimba leo
 
Namtasemaa
 
Acha hela itafutwe mkuu hiyo ndiyo kazi yetu hapa mjini
Watu wanafamilia unategemea awalishe vipi
Wakiimba kuhusu serikali mbovu mnawakamata na kuwabania ridhiki
Wakiimba ngoma za kujiburudisha napenyewe hamtaki sa mnataka wafanye kazi ipi ili wale?
 
Boloo mama boloo
Kwishnei boloo
Japokuwa namchuna, nang’ang’ana humo humo,
Honeyy wangu akinuna, namkatia vibuno
Vibuno, vibuno, vibuno, vibunoooo haniiiii

Hapo wewe umeumia nini? Au huna haniii wa kukukatia vibuno?🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…