Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Mauno codes tuHata naelewa basi😃😃... nasikia tu watu wanaimba
Wanachochea KuniMnamuangushia jumba bovu Zuchu.
Maadili yalishakwenda na maji kabla hata Zuchu na Diamond hawajaanza kuimba.
Basata hawataki nyimbo za kuelimisha jamiiBASATA ndio msimamizi wa kumomonyoa maadili ya watoto wetu. BASATA ni tawi la kubariki utovu wa Nidhamu wa jamii yetu.
Ilibidi BASATA iangaliwe Kwa jicho la unafiq....
Kwanini umemchagulia hizo series? Si ungetulia achague mwenyewe?Mnapenda sana kuwashutumu wasanii kwa kuharibu maadili ikiwa nyie hao maadili hamyazingatii kwa watoto wenu.
Sasa hivi, nikikuambia unitajie series bora na unazozipenda utataja
1. Game of throne iliyojaa ngono tupu.
2. Breaking bad ambayo imejaa uuzwaji wa madawa ya kulevya.
3. Strike, imejaa ngono na ufiraji wa kutisha.
4. Money heist (wizi na ujambazi).
Sijui hayo maadili unayachukuliaje?
Siku hizi ndoa zinavunjika sana na wanawake wanajiuza ovyo mtaani.
Sasa utaonaje ukakasi naumeshaharibikiwaBado sijaona ukakasi kivile kwenye hiyo tungo
Basata ndizo nyimbo wanazozipenda hizoBasata hawataki nyimbo za kuelimisha jamii
Ukiimba za kuelimisha jamii wanazifungiaBasata ndizo nyimbo wanazozipenda hizo
Ova
Kuna vitu kujibu huwa ni kazi sana
Kazi ya sanaa ni ya lawama sana kama ilivyo kazi ya ukondakta.Basata ndizo nyimbo wanazozipenda hizo
Ova
Na wewe unaona ufahariHiyo nyimbo pamoja na kwamba haina maadili ila ni hit song, watoto wanaipenda hiyo nyimbona kwenye vishughuli ndo balaa.
Nimeona watoto wa aunty yangu wadogo sana miaka 5 wakiimba na kucheza.
Sema zuchu anapendwa sana na watoto ila anachowaletea ndo matatizo