Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

Mtakuwa na chuki na Zuchu tu.

Wakati Maua Sama anaimba mwagia ndani na iokote, kuna watu tulikuwa hatumfahamu Zuchu. Bongo flava imejaa nyimbo za matusi matupu hadi kero. Bongo movies nako ni laana tupu.

Halafu wasanii siku zote huangalia hadhira inataka nini ili waendane na soko. Kwahiyo jamii mbovu inapokea sanaa mbovu. Mfano nimefuatilia kidogo sanaa za Rwanda na Ethiopia ambao wana maadili sana katika jamii zao naona zipo safi, si kama za waswahili ambao tunawaza mambo machafu muda wote.

Hao BASATA kama ni kufungia basi wazifungie bongo flava na bongo movies kwa ujumla tuanze upya wote tukiwa siriasi na maadili, kuanzia jamii, serikali hadi hao BASATA wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna zile video za jamaa wa kuitwa kicheche ni uhuni umejaa
 
Tatizo lipo kwa BASATA. Wanakazania kufungia nyimbo huku wakiacha nyimbo za kipumbavu kama hizi ziendelee kuwaharibu watoto wetu. Nyimbo za kipuuzi ni nyingi sana sio huu tu. Mfano, wimbo NAUZA MBOGA, NITONGOZE etc hazifai kuruka hewani. Zinatuharibia watoto na kizazi cha kesho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uduguuuuu sikuweziiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafutie haniii. Wa kumpa vibunoo.
 
Yaan fensi na ushua ndo mtoto asipotee ktk maadili? Hauko sahihiiii.
 
Uduguuuuu sikuweziiiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafutie haniii. Wa kumpa vibunoo.
Oyoooooo!!! Umerudi mdogo angu??
Ulifichwa wapi kwan? 😘😘😘😘
Hanii wako Mjep si yupo? Au unatafuta vita ya kilazima km hamas πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…