Zuchu kuimba MABUNO kuna hatari kubwa kupoteza kizazi kijacho

Bindi yangu ana 2yrs kasoro ghafla naskia anaimba hio nyimbo ya Zuchu kwa ufasaha kabisa nilijipiga kifuani na kusema Kazi ipo. Ikumbukwe sijafunga king'amuzi kabisa sababu ya kuhofia hayo mambo ya kwenye kideo yana athari kwa mtoto ila namuwekea akili akili kwenye flash. Malezi magumu sana
 
Hivi kumbe ni bolo, nilifikiri anasema Golo Golo Golo
 
Mabuno ni kitu Gani kwani, embu mnieleweshe wajuzi wa mambo
 
Zuchu kaleta balaa mjini.mtaa mzima watoto wanaimba"bolo bolo bolo.
Weka jina la wimbo,ili tusiudaunilodi kabisa,yaani hilo ni tusi kabisa,sijui aliyehariri huo wimbo,hakujua kama kiungo hicho ni tusi?
Weka jina,mkuu.
 
Mnamuangushia jumba bovu Zuchu.

Maadili yalishakwenda na maji kabla hata Zuchu na Diamond hawajaanza kuimba.
Kwahyo yaendelee kuharibiwa tu maadili yetu kisa yameshakwenda na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…